Unauliza swali la kitoto sana, nani kafanya , kwani mleta mada ni Polisi? Subiri ripoti ya Polisi.Umesema chadema wamefanya kosa kubwa kuituhumu serikali,Mimi binafsi sipingani na wewe.Sasa wewe tueleze ni nani ametenda haya,maana hawa jamaa wameshafanya kosa kutaja serikali wakati haihusiki.Ninaimani haya umeyasema kwakufanya uchunguzi yakinifu hivyo basi ni vema ukapeleka taarifa polisi juu ya hao unaowajuwa kutenda jambo hilo,kuliko kulaumu chadema ambao wametaja mshukiwa ambaye wewe hukubaliani nao. Sasa napenda kukupa shule jinsi ya kuchunguza jambo lolote lile: Kwanza kabisa unaangalia matukuo ya nyuma kabla ya tukio kuu,then unaangalia nyendo za maadui wa mlengwa kabla ya tukio,tatu unaangalia taarifa za matukio ya nyuma kama zilifika sehemu sahihi inayohusika na uchunguzi,na kama taarifa ilifika unapaswa kuangalia jinsi ilivyo shugulikiwa,na kama haikufika unapaswa kujiuliza kwa nini taarifa haikufika.
Jambo jingine unaangalia matendo yaliyotokea wakati wa tukio,lakini ukiwa unaangalia wale uliokuwa unawahisi kama kuna uhusiano wowote.Mwisho unaangalia matendo yanayoendelea baada ya tukio kwakuangali wale unaowahisi. Kwahiyo haya mambo yanautaratibu wake,siyo unajiandikia tu bila kutumia critical thinking.Kwa nyongeza,MTU anayeweza kuchunguza mambo haya kiyakinifu ni yule mwenye sifa ya introvert na si extrovert maana huyu sifa yake kuu ni kuharibu uchunguzi kwaajili ya misifa na mbwembwe mbele ya mkusanyiko wa watu.