inawezekana unajipa majibu ambayo sio kweli...wewe tulia usijipe majibu yoyote....usifanye maamuzi ya kukurupuka..time is the best answer....time will tell...endelea na issue zako tu kama ni wako atarudi mtaelewana na kama sio wako hata ukasirike vipi haisadiii.....
Pia hio ndo transition kutoka kwenye ujana kwenda kwenye uanaume....unajifunza namna ya kuwaelewa wanawake....
Cool down
Tukiwaendekeza awa tutakua maboya mpaka basi apo dawa ni kuvunga tu!na ndomaana mi wakinpa papuchi napiga show zakibabe + 0712 ir akizingua tu nainuka mazima.
Na bado!hovyooooooooooooooo
Afadhali yako uko BRoho yangu inauma sana aiseee [emoji24][emoji24]yaani nakuwa plan B kwa demu wangu nlie mpenda...
Na kweli bado sana.Na bado!
kunywa maji mengi..
wenzio " tunapofikwaga na matatizo Kama hayo " jambo nyeti la Kwanza ambalo huwa tunalikimbia nikufuta namba " na kumblock everywhere ".... huo huwa ni mkakati was Kwanza " utakaoweza kutusaidia " kuvuka huo mtihaniRoho yangu inauma sana aiseee 😭😭yaani nakuwa plan B kwa demu wangu nlie mpenda...
Huyo Kunguru tena hafugiki ata ukimrekea ni yale yale tuHABARI za majukumu ndugu zangu wana jf.. nina matumaini mu wazima wa afya njema huku mkiendelelea na majukumu yenu ya kila siku..
Kilicho nifanya nije jukwaani muda huu ni huyu aliekuwa mpenzi wangu ambae kwa kweli nakili nilimpenda sana huku na yeye akidai alinipenda pia..
Shida ilianza baada ya mimi kujiunga na taasisi ambayo haiitaji mtu kuwa na mawasiliano uwapo mafunzoni... Niliondoka kwenda kwenye hayo mafunzo huku nikimuacha mpenzi wangu na yeye akijiandaa kwenda chuo...
Namshkuru Mungu nilimaliza salama hiyo training lakini cha kusikitisha nilipopiga simu ya mpenzi wangu namba zake zilikuwa zimefungiwa kabisa...
Nikajaribu kumtafuta kupitia rafki zake lakini bado jitihada zangu ziligonga mwamba... Nikabaki naumia moyoni kuwa huyu mtu mbona hapatikani? Na anajua kabisa training ile niya miezi sita sasa mbona hanitafuti akijua kabisa sasa nipo hewani napatikana? Maswali yalikuwa mengi bila majibu...
Imepita miezi mitatu baada ya mimi kutoka mafunzoni..
Sasa juzi nikapokea text yenye namba mgeni nlipojaribu kudadisi ile namba ndipo nikagundua kuwa ni yeye mpenz wangu...
Nilipofanya nae mahojiano kwa kina nikagundua kuwa kapata bwana na aliniomba msamaha kwa kilichotokea huku akidai alivoona kimya sana eti akajua automatically ntakuwa nimemuacha so akaamua kuwa na mpenzi mwingine. ..
Nilichukia sana kwa majibu yake na nikagoma kumsamee...
Ila kwa kuwa nilimpenda sana nlijikuta jana nampigia simu mara nyingi na hakupokea na kutuma sms nyingi na hakunijibu so nikajihisi kanidharau sana na mimi pia nimejishusha heshima na hadhi yangu kumtafuta mtu alienikosea na bado akaonesha dharau ya kutokujali simu na text zangu...
Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana... Maaana hakupokea wala kujibu txt...
Nimepoteza credits zangu zote kwake..
Ushauri kwa nyie mliozinguana na wapenzi wenu.. Msiwapigiie simu wala kutuma sms kwa kufanya hivo watazidi kuwadharau daima..
Ila mkikomaa kwa kukaa kimya mtaheshimika daima..Mi tayari nshadharaulika kwa mtu nlie mpenda sana...
Ili uheshimike basi kaa kimya hata kama moyo unauma,; ukishindwa sana kujizuia basi kunywa maji mengi..Kuliko kumtafuta msaliti..
Ukijishusha kwa msaliti ni kumkosea Mungu heshima na utakuwa una halalisha dhambi..
Niwatakie weekend njema...
wapo kibaoHABARI za majukumu ndugu zangu wana jf.. nina matumaini mu wazima wa afya njema huku mkiendelelea na majukumu yenu ya kila siku..

Ahaaahaaha nomaWewe bado katoto kadogo sababu umeambiwa unachokasirikia nini
Harafu unamgombezaje wakati sio mkeo , ulimkuna kuna ukamuacha sasa huo muwasho ulitaka ajikunie gunzi
Mnaidharirisha jf
Hahaha wajifunze aiseeAhaaahaaha noma