Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

Nah, Don't feel bad sana.

Give yourself a pat on the back. At least you tried.

And you know what? Atarudi tu hoping you will take her back.
 
Boss Advance ulisoma PGM/EGM/PCM nini? mimi huwa najitahidi sana kupunguza kufanya vijihesabu visivyo na umuhimu maana hata shuleni hesabu nilikimbia..sasa wewe umeanza kuhesabu hata ma ex, hatari hii. Be a man mkuu, Vipo vingi vya kuhesabu..pesa, na assets unazomiliki.

Mimi tukiachana leo kesho sikujui, so sina exs..

Ni uvulana sana kuendelea kumganda mtu unaejua kabisa kuwa hakuhitaji eti kisa unaogopa kuongeza idadi ya ma ex.
Greatest point of this year... nimekuelewa sana Mkuu katika hii hoja
 
Nah, Don't feel bad sana.

Give yourself a pat on the back. At least you tried.

And you know what? Atarudi tu hoping you will take her back.
Akirudi ni sahihi kuwa nae tena?? Wakati alinikimbia na kunidharau juu
 
HABARI za majukumu ndugu zangu wana jf.. nina matumaini mu wazima wa afya njema huku mkiendelelea na majukumu yenu ya kila siku..
Kilicho nifanya nije jukwaani muda huu ni huyu aliekuwa mpenzi wangu ambae kwa kweli nakili nilimpenda sana huku na yeye akidai alinipenda pia..
Shida ilianza baada ya mimi kujiunga na taasisi ambayo haiitaji mtu kuwa na mawasiliano uwapo mafunzoni... Niliondoka kwenda kwenye hayo mafunzo huku nikimuacha mpenzi wangu na yeye akijiandaa kwenda chuo...
Namshkuru Mungu nilimaliza salama hiyo training lakini cha kusikitisha nilipopiga simu ya mpenzi wangu namba zake zilikuwa zimefungiwa kabisa...
Nikajaribu kumtafuta kupitia rafki zake lakini bado jitihada zangu ziligonga mwamba... Nikabaki naumia moyoni kuwa huyu mtu mbona hapatikani? Na anajua kabisa training ile niya miezi sita sasa mbona hanitafuti akijua kabisa sasa nipo hewani napatikana? Maswali yalikuwa mengi bila majibu...
Imepita miezi mitatu baada ya mimi kutoka mafunzoni..
Sasa juzi nikapokea text yenye namba mgeni nlipojaribu kudadisi ile namba ndipo nikagundua kuwa ni yeye mpenz wangu...
Nilipofanya nae mahojiano kwa kina nikagundua kuwa kapata bwana na aliniomba msamaha kwa kilichotokea huku akidai alivoona kimya sana eti akajua automatically ntakuwa nimemuacha so akaamua kuwa na mpenzi mwingine. ..
Nilichukia sana kwa majibu yake na nikagoma kumsamee...
Ila kwa kuwa nilimpenda sana nlijikuta jana nampigia simu mara nyingi na hakupokea na kutuma sms nyingi na hakunijibu so nikajihisi kanidharau sana na mimi pia nimejishusha heshima na hadhi yangu kumtafuta mtu alienikosea na bado akaonesha dharau ya kutokujali simu na text zangu...
Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana... Maaana hakupokea wala kujibu txt...
Nimepoteza credits zangu zote kwake..
Ushauri kwa nyie mliozinguana na wapenzi wenu.. Msiwapigiie simu wala kutuma sms kwa kufanya hivo watazidi kuwadharau daima..
Ila mkikomaa kwa kukaa kimya mtaheshimika daima..Mi tayari nshadharaulika kwa mtu nlie mpenda sana...
Ili uheshimike basi kaa kimya hata kama moyo unauma,; ukishindwa sana kujizuia basi kunywa maji mengi..Kuliko kumtafuta msaliti..
Ukijishusha kwa msaliti ni kumkosea Mungu heshima na utakuwa una halalisha dhambi..
Niwatakie weekend njema...
Wazi mkuu, gangamala kaza buti mwendo mdundo!!!
 
kosa kubwa ulilofanga ni kumpenda hawa viumbe mie huwa nawatia tu natembea wanapendwa na wazazi wao inatosha
 
Akirudi ni sahihi kuwa nae tena?? Wakati alinikimbia na kunidharau juu
These are affairs of the heart honey.

Siwezi kujua atarudi na excuse gani na wewe moyo wako bado unampenda kiasi gani.

Be the judge of that.
 
kosa kubwa ulilofanga ni kumpenda hawa viumbe mie huwa nawatia tu natembea wanapendwa na wazazi wao inatosha

Wanasema it is better to have loved and lost, than never to have loved.
 
inawezekana unajipa majibu ambayo sio kweli...wewe tulia usijipe majibu yoyote....usifanye maamuzi ya kukurupuka..time is the best answer....time will tell...endelea na issue zako tu kama ni wako atarudi mtaelewana na kama sio wako hata ukasirike vipi haisadiii.....
Pia hio ndo transition kutoka kwenye ujana kwenda kwenye uanaume....unajifunza namna ya kuwaelewa wanawake....
Cool down
 
Wazo zurii sana mkuuu nimekuelewa 😆😆
 
HABARI za majukumu ndugu zangu wana jf.. nina matumaini mu wazima wa afya njema huku mkiendelelea na majukumu yenu ya kila siku..
Kilicho nifanya nije jukwaani muda huu ni huyu aliekuwa mpenzi wangu ambae kwa kweli nakili nilimpenda sana huku na yeye akidai alinipenda pia..
Shida ilianza baada ya mimi kujiunga na taasisi ambayo haiitaji mtu kuwa na mawasiliano uwapo mafunzoni... Niliondoka kwenda kwenye hayo mafunzo huku nikimuacha mpenzi wangu na yeye akijiandaa kwenda chuo...
Namshkuru Mungu nilimaliza salama hiyo training lakini cha kusikitisha nilipopiga simu ya mpenzi wangu namba zake zilikuwa zimefungiwa kabisa...
Nikajaribu kumtafuta kupitia rafki zake lakini bado jitihada zangu ziligonga mwamba... Nikabaki naumia moyoni kuwa huyu mtu mbona hapatikani? Na anajua kabisa training ile niya miezi sita sasa mbona hanitafuti akijua kabisa sasa nipo hewani napatikana? Maswali yalikuwa mengi bila majibu...
Imepita miezi mitatu baada ya mimi kutoka mafunzoni..
Sasa juzi nikapokea text yenye namba mgeni nlipojaribu kudadisi ile namba ndipo nikagundua kuwa ni yeye mpenz wangu...
Nilipofanya nae mahojiano kwa kina nikagundua kuwa kapata bwana na aliniomba msamaha kwa kilichotokea huku akidai alivoona kimya sana eti akajua automatically ntakuwa nimemuacha so akaamua kuwa na mpenzi mwingine. ..
Nilichukia sana kwa majibu yake na nikagoma kumsamee...
Ila kwa kuwa nilimpenda sana nlijikuta jana nampigia simu mara nyingi na hakupokea na kutuma sms nyingi na hakunijibu so nikajihisi kanidharau sana na mimi pia nimejishusha heshima na hadhi yangu kumtafuta mtu alienikosea na bado akaonesha dharau ya kutokujali simu na text zangu...
Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana... Maaana hakupokea wala kujibu txt...
Nimepoteza credits zangu zote kwake..
Ushauri kwa nyie mliozinguana na wapenzi wenu.. Msiwapigiie simu wala kutuma sms kwa kufanya hivo watazidi kuwadharau daima..
Ila mkikomaa kwa kukaa kimya mtaheshimika daima..Mi tayari nshadharaulika kwa mtu nlie mpenda sana...
Ili uheshimike basi kaa kimya hata kama moyo unauma,; ukishindwa sana kujizuia basi kunywa maji mengi..Kuliko kumtafuta msaliti..
Ukijishusha kwa msaliti ni kumkosea Mungu heshima na utakuwa una halalisha dhambi..
Niwatakie weekend njema...

Suluhisho hapo kaka tafuta kamba jitundike..
 
Tukiwaendekeza awa tutakua maboya mpaka basi apo dawa ni kuvunga tu!na ndomaana mi wakinpa papuchi napiga show zakibabe + 0712 ir akizingua tu nainuka mazima.
 
Mi nikajua uliua mtu....we jamaa haupo serious anyway demu tayari ameshakwambia ameshapata ukuni mpya kifupi hawezi kupokea ....wewe kinachokusumbua moyo wako hautaki kuamini kilichotokea ingawa ndo ukweli wenyewe ...cha kukushauri tafuta demu mkali kuliko yeye utamsahau haraka sana ila ukiendelea kulialia utaenda kuomba msamaha pasipo kutarajia angalau upate auhueni ya kukaa na waridi jambo ambalo halitakusaidia kwa wakati huu au jitahidi kuwa bize usiku na mchana na pia epuka kuwa peke yko
 
Back
Top Bottom