Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

Hongera sana kwaza kwa kumaliza mafunzo ya kuitumikia nchi yako.itumikie kwa uaminifu wote kuhusu huyo mwanamke achana nae utampata mwingine.
 
Kwa maelezo hayo wewe ni mwanaume wa mikoani, pia unaweza ukawa ni polisi au mwanajeshi, pia una matatizo sana inaonekana wewe ni mtu unayependa kujitenga tenga na watu na kukaa mwenyewe maana umeanza kujidharau wewe mwenyewe hivyo ni vitu vya kawaida sana mkuu chonde chonde ujinyonge...hahahaha
 
Mimi ni social creature aisee.. Ni mtu wa kujichanganya na kupiga stori na watu sana ila kinachoniuma ni huyu demu kunidharau kisa mwanaume mwingine tena walio juana muda si mrefu... Nilimtumia text hakujibu wala hakupokea simu na yeye ndo mwenye makosa..
 
Hongera sana kwaza kwa kumaliza mafunzo ya kuitumikia nchi yako.itumikie kwa uaminifu wote kuhusu huyo mwanamke achana nae utampata mwingine.
Hiyo ya kumpata mwingine ndo inanitia uvivu... sasa ntapata wangap kama demu ukimwacha mwezi tu tayari kashapata bwana na kukudharau juu..
 
Kichwa cha uzi na yaliyoandikwa yanapishana. Sijaliona kosa lako hapo.

Au ulitaka tuifahamu kazi yako?
 
"... Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana..." kwahiyo boss hujutii kuwa bwege ila unajutia kuonekana hivyo. Ndo tatizo tulilonalo wengi, tunaogopa sana kuonekana wajinga kuliko jinsi tunavyoogopa kuwa wajinga.

Yani mtu kashakwambia ana bwana mwingine bado unazidi kumtafuta (huo ni ubwege). Ukitaka mtu akuheshim mueoneshe jinsi unavyoweza kuishi bila yeye.
 
Kichwa cha uzi na yaliyoandikwa yanapishana. Sijaliona kosa lako hapo.

Au ulitaka tuifahamu kazi yako?
Kosa ni mimi kumpigia simu na kutuma sms kwa mtu ambae yeye ndo mwenye makosa... alafu hakujibu chochote that's maans mimi ndo najipendekeza kwake
 
"... Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana..." kwahiyo boss hujutii kuwa bwege ila unajutia kuonekana hivyo. Ndo tatizo tulilonalo wengi, tunaogopa sana kuonekana wajinga kuliko jinsi tunavyoogopa kuwa wajinga.

Yani mtu kashakwambia ana bwana mwingine bado unazidi kumtafuta (huo ni ubwege). Ukitaka mtu akuheshim mueoneshe jinsi unavyoweza kuishi bila yeye.
That's nice.. ndo maana nimesema nimefanya kosa kubwa la kunishushia heshima...
 
Ntafikisha ma ex wangap?? Daaah sometimes huwa nachoka sana
Boss Advance ulisoma PGM/EGM/PCM nini? mimi huwa najitahidi sana kupunguza kufanya vijihesabu visivyo na umuhimu maana hata shuleni hesabu nilikimbia..sasa wewe umeanza kuhesabu hata ma ex, hatari hii. Be a man mkuu, Vipo vingi vya kuhesabu..pesa, na assets unazomiliki.

Mimi tukiachana leo kesho sikujui, so sina exs..

Ni uvulana sana kuendelea kumganda mtu unaejua kabisa kuwa hakuhitaji eti kisa unaogopa kuongeza idadi ya ma ex.
 
Back
Top Bottom