Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

Kosa kubwa nililolifanya mwaka huu

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
770
Reaction score
1,075
HABARI za majukumu ndugu zangu wana jf.. nina matumaini mu wazima wa afya njema huku mkiendelelea na majukumu yenu ya kila siku..
Kilicho nifanya nije jukwaani muda huu ni huyu aliekuwa mpenzi wangu ambae kwa kweli nakili nilimpenda sana huku na yeye akidai alinipenda pia..
Shida ilianza baada ya mimi kujiunga na taasisi ambayo haiitaji mtu kuwa na mawasiliano uwapo mafunzoni... Niliondoka kwenda kwenye hayo mafunzo huku nikimuacha mpenzi wangu na yeye akijiandaa kwenda chuo...
Namshkuru Mungu nilimaliza salama hiyo training lakini cha kusikitisha nilipopiga simu ya mpenzi wangu namba zake zilikuwa zimefungiwa kabisa...
Nikajaribu kumtafuta kupitia rafki zake lakini bado jitihada zangu ziligonga mwamba... Nikabaki naumia moyoni kuwa huyu mtu mbona hapatikani? Na anajua kabisa training ile niya miezi sita sasa mbona hanitafuti akijua kabisa sasa nipo hewani napatikana? Maswali yalikuwa mengi bila majibu...
Imepita miezi mitatu baada ya mimi kutoka mafunzoni..
Sasa juzi nikapokea text yenye namba mgeni nlipojaribu kudadisi ile namba ndipo nikagundua kuwa ni yeye mpenz wangu...
Nilipofanya nae mahojiano kwa kina nikagundua kuwa kapata bwana na aliniomba msamaha kwa kilichotokea huku akidai alivoona kimya sana eti akajua automatically ntakuwa nimemuacha so akaamua kuwa na mpenzi mwingine. ..
Nilichukia sana kwa majibu yake na nikagoma kumsamee...
Ila kwa kuwa nilimpenda sana nlijikuta jana nampigia simu mara nyingi na hakupokea na kutuma sms nyingi na hakunijibu so nikajihisi kanidharau sana na mimi pia nimejishusha heshima na hadhi yangu kumtafuta mtu alienikosea na bado akaonesha dharau ya kutokujali simu na text zangu...
Najuta kumpigia maana atakuwa kaniona bwege sana... Maaana hakupokea wala kujibu txt...
Nimepoteza credits zangu zote kwake..
Ushauri kwa nyie mliozinguana na wapenzi wenu.. Msiwapigiie simu wala kutuma sms kwa kufanya hivo watazidi kuwadharau daima..
Ila mkikomaa kwa kukaa kimya mtaheshimika daima..Mi tayari nshadharaulika kwa mtu nlie mpenda sana...
Ili uheshimike basi kaa kimya hata kama moyo unauma,; ukishindwa sana kujizuia basi kunywa maji mengi..Kuliko kumtafuta msaliti..
Ukijishusha kwa msaliti ni kumkosea Mungu heshima na utakuwa una halalisha dhambi..
Niwatakie weekend njema...
 
Mafunzo ya wazee wa suti na miwani nyeusi?

Back to the point, anachofanya huyo demu ni kutega mitego huku na huko ili mambo yakiharibika upande mmoja, upande wa pili umpokee. Na bahati mbaya sana inaonekana wewe kwake ni plan B. Kwahiyo mkuu jiongeze, tafuta demu mwingine.

Huu ushauri ulioutoa mwishoni unapaswa uufanyie kazi wewe mwenyewe, maana nina wasiwasi akikutafuta tena, utalegeza masharti tena
 
Ooh sawa kwaiyo mkuu saiv wewe ni mwanajeshi eeh
 
Mafunzo ya wazee wa suti na miwani nyeusi?

Back to the point, anachofanya huyo demu ni kutega mitego huku na huko ili mambo yakiharibika upande mmoja, upande wa pili umpokee. Na bahati mbaya sana inaonekana wewe kwake ni plan B. Kwahiyo mkuu jiongeze, tafuta demu mwingine.

Huu ushauri ulioutoa mwishoni unapaswa uufanyie kazi wewe mwenyewe, maana nina wasiwasi akikutafuta tena, utalegeza masharti tena
Hamna mkuu. Huyu dogo alikuwa jkt
 
Na hiki ndicho nachokiona kwa huyu jamaa huyo demu akirudi tu na kulia lia atamsamehe na kuendelea kikubwa atafute demu mwingine wa kumtuliza atamsahau,ila hawa wanawake hawa wana akili nyingi akiamua kukukamata atakukamata tu!
 
Roho yangu inauma sana aiseee 😭😭yaani nakuwa plan B kwa demu wangu nlie mpenda...
 
Na hiki ndicho nachokiona kwa huyu jamaa huyo demu akirudi tu na kulia lia atamsamehe na kuendelea kikubwa atafute demu mwingine wa kumtuliza atamsahau,ila hawa wanawake hawa wana akili nyingi akiamua kukukamata atakukamata tu!
Siwezi mkuu
 
Back
Top Bottom