Kosa kubwa lililofanywa na Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania 'CHADEMA' na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kukirudisha Chama

Ushauri wako nimeukubali kuhusu makosa hayo madogo madogo! Hizo ni error typing mkuu! Naukizingatia mimi sio mwandishi, ila nilichogundua ujumbe umeusoma na ukauelewa, ndio maana hujapinga hoja hata moja wala kuleta utetezi juu ya nilichoandika zaidi kuishia kuandika matusi , ooh..! Mala Mavi mala nimetumwa na makonda!

Sijashangaa maana nishalisema hapo ktk andiko kuwa! Ccm waliwasoma chadema kuwa mnajazba na kiburi ! Wakajua namna ya kuwajibu.
Makonda nae alishawajua kuwa mnajaziba na ubabe, nae akawa anawapa maneno ya kisiasa ili mlopoke nakweli ndivyo ilivyokuwa!

Hii inaonyesha chadema wanapitia njia ile ile waliyopitia wote walokataa ushauli nahisi hata wewe utakuwa kundi la walewale au utakuwa mwanachadema.
COVID19 INAUA , CHAUKUA TAHADHALI
Enzi na enzi
Dar es salaam.

Nina uwezo wa kujua typing error na uwezo duni wa kuandika. Ww una uwezo duni wa kuandika, na wala sio kwakuwa sio muandishi. Najiuliza inakuwaje hizi id karibia zote zenye maudhui sawa na yako, ziwe na tatizo la kiuandishi. Nimekujibu kwa usahihi kutokana na uchafu ulioandika, na mwenendo wako wa kiuandishi.

Sioni ni kwa vipi ungeweza kuelewa nilichoandika wakati hata kuandika tu kwako ni shida. Maana nijuavyo mimi, unaanza kujua kuandika kwanza, kisha ndio unahamia hatua ya kuelewa kilichoandikwa. Ww bado uko kwenye hatua ya kujifunza kuandika, maliza hatua hiyo kwanza ndio urukie mengine.
 
Sijui ni tatizo gani limeikumba ccm hivi sasa, fuatilia vizuri huku mitandaoni, kuna Id mpya na wote wanaiponda cdm, na kumsifia Magufuli. Na kujisahau au kwa maelezo maalumu huwa wanamtaja Makonda. Tatizo kubwa la kundi hili jipya asilimia 90 ya hizi id mpya hawajui kanuni za uandishi. Wengi wao hawajui wapi waweke koma, nukta, nafasi baina ya neno na neno, alama mbalimbali kama za mshangao, kuuliza nk. Mfano mzuri ni ww mleta mada, pitia bandiko lako ni kama chakula kilicho ndani ya mavi.

Ajenda kubwa ya nyie vilaza mliojazwa humu ndani na ccm/ Makonda, na kutupa sababu za kupandikiza kuwa ni kwanini cdm inaanguka. Kana kwamba hatujui kuwa cdm haianguki, bali kuna siasa chafu kupitia ulevi wa madaraka ndio zinazotaka kuiangusha cdm. Nawashauri hilo kundi jipya kuleni hizo hela za walevi wa madaraka, lakini pia mjiongeze kwa kujifunza kuandika kwa usahihi.
We unaangalia Id mpya na typing errors? Kama umeelewa ujumbe tatizo lipo wapi?
 
Kuweka kumbukumbu sawa! Kwenye hiyo namba 2 ni kwamba Dr. Slaa hakuwa zao la Chadema. Aliingia Chadema mwaka 1995 akitokea CCM mara tu baada ya kuondolewa kwa zengwe kwenye mchujo wa kura za maoni kugombea Ubunge Jimbo la Karatu.

Baada ya kuhamia Chadema ndipo aliposhinda kwenye huo uchaguzi na kuwa mmoja wa Wabunge wachache wa Chadema kuchaguliwa kwa wakati huo.

Hivyo hana tofauti na baadhi ya Makamanda wengine wakiwemo akina Mchungaji Msigwa, Lema.
the difference is huge.
 
We unaangalia Id mpya na typing errors? Kama umeelewa ujumbe tatizo lipo wapi?

Nikishaona bandiko refu, lenye makosa tena mengi ya kuandishi ni lazima niangalie id ni ya lini. Nikashajua ni id ya lini, kisha nikichanganya na ubovu wa uandishi, najua bandiko ni la kichwa maji. Hivyo hitimisho la kichwa maji yoyote aliyeletwa kichwa kichwa humu ndani, kinachofuata ni kumpa dozi stahiki. Huyu kilaza bado yuko kwenye hatua ya kujifunza kusoma na kuandika, akihitimu hilo ndio aje aongee na wanaume. Una maoni mengine?
 
Haijalishi alitokea wapi? Lakini alikijengea heshima Cdm.
Siasa za kipindi cha Dr slaa na sasa ni tofauti,Leo hakuna usawa katika uendeshaji wa siasa za Tanzania, Slaa alizunguka nchi nzima akisimama majukwaani na pia kufanya maandamano yakuikosoa serikali na akaachwa afanye,Leo hii mbunge ata jimboni kwake tu kuongea na wananchi unaishia kufunguliwa mashtaka.
 
Siasa za kipindi cha Dr slaa na sasa ni tofauti,Leo hakuna usawa katika uendeshaji wa siasa za Tanzania, Slaa alizunguka nchi nzima akisimama majukwaani na pia kufanya maandamano yakuikosoa serikali na akaachwa afanye,Leo hii mbunge ata jimboni kwake tu kuongea na wananchi unaishia kufunguliwa mashtaka.
Hii imetokea baada ya chadema kuonekana ni matapeli na wanafiki wakubwa
Kwa kupinga mambo ambayo wao wanayafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikishaona bandiko refu, lenye makosa tena mengi ya kuandishi ni lazima niangalie id ni ya lini. Nikashajua ni id ya lini, kisha nikichanganya na ubovu wa uandishi, najua bandiko ni la kichwa maji. Hivyo hitimisho la kichwa maji yoyote aliyeletwa kichwa kichwa humu ndani, kinachofuata ni kumpa dozi stahiki. Huyu kilaza bado yuko kwenye hatua ya kujifunza kusoma na kuandika, akihitimu hilo ndio aje aongee na wanaume. Una maoni mengine?
Pamoja na kumkosoa lakini ujumbe
umeuelewa. Yaani amekugusa.
 
Kaka umeongea ukweli mtupu. Jamaa wameji kaanga kwa mafuta yao ya siasa za kuitukana serikali na kupinga kila kitu. Watavuna walichopanda.
 
WEWE SEMA TU UPINZANI UMEPATA WAKATI MGUMU AWAMU HII, KUTOKANA NA UTAWALA HUU KUTOHESHIMU DEMOKRASIA. NA NAFIKIRI ULIKUA MKAKATI MAALUMU WA KUUA UPINZANI, ILA KAMA KWELI CCM INAJIAMINI, KWANINI ISIRUHUSU UPINZANI UFANYE MIKUTANO KAMA WAO WANAVYOFANYA?
 
Nina uwezo wa kujua typing error na uwezo duni wa kuandika. Ww una uwezo duni wa kuandika, na wala sio kwakuwa sio muandishi. Najiuliza inakuwaje hizi id karibia zote zenye maudhui sawa na yako, ziwe na tatizo la kiuandishi. Nimekujibu kwa usahihi kutokana na uchafu ulioandika, na mwenendo wako wa kiuandishi.

Sioni ni kwa vipi ungeweza kuelewa nilichoandika wakati hata kuandika tu kwako ni shida. Maana nijuavyo mimi, unaanza kujua kuandika kwanza, kisha ndio unahamia hatua ya kuelewa kilichoandikwa. Ww bado uko kwenye hatua ya kujifunza kuandika, maliza hatua hiyo kwanza ndio urukie mengine.
Moja ya mbinu ya kivita ambayo kila askari anatakiwa kuijua anapokuwa kwenye mapambano , nikujua aina ya siraha anayotumia adui yko, nasiyo kujua kuhesabu risasi anazorusha adui yko.


Naona wewe niwale askari wanaoesabu risasi za adui!
Jiandaeni kutukana tena, maana bado mko vilevile, mwaka huu 2020 mtalizika lichama lenu nakujiunga na makundi ya kigaidi.

Nauzuri Tiss mkuu anatoka kwenu! Hivyo anawajua kwa kutembea, kwakuongea , nahata mila na desturi zenu,

Tiss mkuu anayajua mashamba na mabonde , mito na mapango yenu yte! Hivyo Msipobadirika mtahadithiwa kwenye vitabu kuwa kulikuwa na chama cha wababe,wapinga kila kitu, na ndani yke walikuwepo wahuni.
 
WEWE SEMA TU UPINZANI UMEPATA WAKATI MGUMU AWAMU HII, KUTOKANA NA UTAWALA HUU KUTOHESHIMU DEMOKRASIA. NA NAFIKIRI ULIKUA MKAKATI MAALUMU WA KUUA UPINZANI, ILA KAMA KWELI CCM INAJIAMINI, KWANINI ISIRUHUSU UPINZANI UFANYE MIKUTANO KAMA WAO WANAVYOFANYA?
Nchi gani Africa na ulaya au america wanafanya hivyo.
 
Chadema ilijengwa katika misingi dhaifu na iliyopotoka, ndio maana kimekwisha makali mapema.

Kwa umri wake toka kuanzishwa kwake walipaswa kuzungumzia mambo makubwa zaidi ya haya ya kutafuta namna ya kurudi katika enzi yake ya awali.
 
Wapendwa wana JF,

Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF.

Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na maendereo chadema kikafikia hatua hii mbaya kilipo kwa sasa.

Hili halina ubishi kuwa CHADEMA kina wakati mgumu kuliko nyakati zote katika siasa hapa Tanzania.

Hakuna ubishi kuwa, chadema kweli kilikuwa nichama cha demokrasia tukiacha maendeleo. Hili linathibitika wazi kuwa! CHADEMA ndo iliibua vijana wengi na kuwajenga kisiasa kitu kilichoperekea kuiamsha hata CCM.

MAKOSA WALIYOFANYA CHADEMA

1. Kiburi

Chadema walijawa na kiburi baada yachama kukubarika mpaka ngazi ya vijijini na raia wa kawaida ukiacha wenye heshima za utajiri, elimu, nk. Ni kweli ndani ya Chadema kulikuwa na kuheshimiana, umoja na kupendana, badala ya kuendeleza utamaduni huo, wakajawa na kiburi wakaanza kubaguana kwa kigezo cha elimu, umaarufu, ukwasi wa fedha na ukanda. Walikuja kushtuka baadae wakiwa wamechelewa, wakaanza kutoa vyeo kwa misingi ya usawa japo ilikuwa too late.

2. Tamaa
Walijawa na tamaa ya kutaka njia ya mkato kuchukua nchi nakuacha misingi mizuri iliyowajenga ! Pamoja na maonyo ya watu walioona mbari lkn hawakujari ! Hii inanikumbusha ajari mbaya ya meli ya Titainic iliyotokea baada ya Nahodha kudharau maonyo kwa sababu ya kiburi nakweli meli ilizama.

Nakumbuka DR. W. Slaa alionya kuwa E. N Lowasa asipokelewe na kukabidhiwa kugombea urais kwakuwa ilikuwa ni kazi ngumu kumsafisha uchafu ambao wao walimpaka, akaishia kuambiwa alitaka urais! Hata kama ilikuwa ndivyo, ni bora ya Dr. ambaye alikuwa zao la Chadema.

Chadema walisahau kuwa walikuwa ndani ya mapambano ambayo haikustahiri mateka mlie mteka apewe siraha na awe mshauri wenu huku akiwaongoza katika vita na maadui ambao yeye alikuwa upande wao.

Lakini haikutosha wakawachukua wana CCM wengi ambao hata kwa hakiri ndogo kwa hadhi waliyofikia hawawezi kufia chama tofauti nakinachowapa ridhiki wao na watoto wao kizazi na kizazi, hii ilikuwa tamaa

3. Siasa za uanaharakati
walisahau kuwa siasa ni siasa na harakati ni harakati, wakaingiza harakati za kuanza kutukana viongozi, ubabe, kupinga kila kitu! Wakashusha hadhi ya siasa nakujipambanua kuwa wao ni wanaharakati, tabia hii iliperekea kila ntu kuwashangaa!

Wakatuna mahakama, wakatukana police, wakatukana Rais na mawaziri, wakuu wa mikoa nk. Ikafika sehem kila mtu ndani ya chadema akawa msemaji simwanamke si mwanamme watanzania wakawashangaa. CCM wakakaa kimya, wakaandaa ntu mmoja wa kuwajibu kiuanaharakati nae ni MSIBA. Hoja za serikari zikajibiwa na Dr Abasi, Msemaji wa serikali, hoja za chama zikajibiwa na Polepole au Dr Bashiru Ally! Wao ikawa vurugu! Leo heche, kesho Msigwa, usiku Lema, mchana Ester Bulaya, asubuhi Halima Mdee, mara John Mrema, mara Mangi Kimambi, mara Fatma Karume na wengine; kifupi ikawa vurugu.

Chadema nahisi waliwadharau katibu mkuu Dr Mashinji, Prof. Baregu, Prof. Safari na wengine. Wakaingia mkenge wakujibishana na mkuu wa mkoa wa Dar P. Makonda, akawa anawajoki kwa kuwapa matamko ya kisiasa wanajaa hasira! Nahisi CCM ilikuwa imewasoma. Na kama kuna mtu kacheza nao Chadema, ni P. Makonda. Mi namuona anaijua siasa.

4. Chadema wakaanza kutetea wezi, wauza dawa za kulevya, wahujumu uchumi, vibaka na wanywa viroba!
Vyeti feki napo wakatetea, wakapinga utumbuaji mda huo wananchi wakifurahi. Nadhani ilifika hatua taarifa ya habari bila kusemwa magufuri haikunoga kwa watazamaji. Hili lilikuwa nikosa, wakawa wanashangilia ndege zetu kukamatwa, wakatamka bungeni na kwenye mitandao kuwa Barrick itaishitaki nchi matokeo yake rais wa Barrick akatia team kwa ndege binafsi. Hili nalo lilikuwa kosa kubwa kama chama kinachotaka kushika dola.

5. Covid19
Korona imewamaliza sana chadema, nabila aibu hawakutaka kujisahihisha mapema, kwani aliyetoa tamko ni ester bulaya baada ya malalamiko alitakiwa mbowe atengue hyo kauli mapema lkn wakashadidia kiasi kwamba mpaka wao kwa wao ikawala , na mbaya zaidi Dr john pombe magufuri akawa mshindi baada ya shirika ka afya WHO kukariri yaleyale aloyasemq mh. Rais, baadae marekani na nchi jirani nao wakaufyata mkia! Hapo napo walikurupuka.

Kelele zilizopigwa mda mlefu za rudhuku ya chama kuliwa na watu wachache zikashika kasi, utemi ndani ya chama ukashika kasi mambo ambayotulionya mapema, nahata wanapokuja na majibu hawajibu maswali ya wanachama kuhusu matumizi ya rudhuku, ujenzi wa ofice za chama mikoani na masrahi ya wanachama wengine.

NINI CHA KUFANYA

Chadema mkubari matokeo yakuwa chama mmekipasua kwa mambo niliyoyataja na mengine mengi ambayo sikuyaeleza humu!! Inabidi mtulie mrudi kuziba ufa japo nikazi ngumu, muachane na siasa za matusi na na siasa za kuvizia. Kama kweli mnataka kuchukua dola. Huwezi ukamtukana IGP ukamtukana TISS, ukatukana MAHAKAMA ukamtukana RAIS hasa asiye mwizi na ukafanikiwa.

Hata kama ni wabaya kwako cheka nao lakini si wema kwako! Siku wakiingia anga zako unawalipua. Lakini hizo siasa mnazofanya za kutegemea mataifa ya magharibi, na wanaharakati hazitawasaidia.

Yupo wapi Mabere Nyaucho marando? Yupo wapi Prof A. Safari? Yupo wapi Dr W. Slaa? Yupo wapi W. Lwakatare? Mmekaa mkajiuliza kwanini wabunge na wanachama wanahama chama? Je, wote wananunuliwa? Kama ndiyo, kwa nini wanunuliwe? Je, na nyie mlinunua wabunge na wana CCM waliohamia kwenu?

ANGALIENI MLIPO ANGUKA MKAPATENGENEZE MUENDELEE NA SAFARI

Enzi na enzi

Dar es salaam.
Yana umeacha toa familia yako out, upo umejikunja ndani kwa kuandika upuuzi Kama huu, Mambo ya Chadema yaacheni , unaumia na nini
 
Back
Top Bottom