Kosa kubwa la CCM!

Kosa kubwa la CCM!

Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
How comes unadiriki kuwaita majority ya waTZ,kuwa ni ngedele?!!

Lazima ubongo wako,utakuwa umeingia kwenye mwezi mchanga!!
 
Ni kweli kabisa,,take a look at china and india,,zote zina population almost equal (1.3b and 1.2b),,resources zipo,elimu wanaendana ila china iko juu ya india though india wanajitahidi,hii ni kwa sababu ya kubana uhuru wa wananchi,,libya ya ghadafi pia,,,
nakubaliana na wewe mkuu kabisa,uhuru upunguzwe

Mbona hutaji Nchi za Ujerumani,USA,England na Nchi za Scandinavia?.Kwa taarifa yako Mfumo Wowote unaleta Maendeleo kama utapata Viongozi wanaofiti kwa Mfumo uliopo.Kama Viongozi ni Dhaifu na wapo Madarakani kwa njia za Ujanjaujanja katu hawataweza kuwaletea Wananchi Maendeleo.Wakijaribu kuwabana zaidi kwa kuwanjima uhuru kama unavyopendekeza ndio yanatokea kama yale ya Tunisia,Libya,Misri,Syria nk.Cha Msingi ni Viongozi kujitathmini na kuwatumikia Wananchi na sio Matumbo yao na Jamaa zao.
 
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Kati ya makundi mawili unayopendekeza (Watawala na Watumwa), wewe umo kwenye kundi gani?
 
Mi najua fika wewe Kijakazi; umetumwa tu kama jina lako,...Mimi nimeshuhudia mara kadhaa wakulima,walimu na hata machinga wakipuuzwa na serikali 'sikivu' ya CCM kumbe wanatafsiriwa kama ngedere lol! Serikali ikijaa wala rushwa, wananchi masikini watapuuzwa kabisa kabisa (Mwl.Nyerere-1995)
 
Last edited by a moderator:
JF ilianzishwa kwa malengo mazuri lakini Bavicha na itikadi zenu mnatuboa. Ebu tubadilike post zote ni Siasa tu. Ndiyo sababu watz tunakuwa masikin ten tunalaum gvt.
mkuu Lilambo nakukumbusha 2 hil ni jukwaa la siasa
 
Kuna ka ukweliiiii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona hutaji Nchi za Ujerumani,USA,England na Nchi za Scandinavia?.Kwa taarifa yako Mfumo Wowote unaleta Maendeleo kama utapata Viongozi wanaofiti kwa Mfumo uliopo.Kama Viongozi ni Dhaifu na wapo Madarakani kwa njia za Ujanjaujanja katu hawataweza kuwaletea Wananchi Maendeleo.Wakijaribu kuwabana zaidi kwa kuwanjima uhuru kama unavyopendekeza ndio yanatokea kama yale ya Tunisia,Libya,Misri,Syria nk.Cha Msingi ni Viongozi kujitathmini na kuwatumikia Wananchi na sio Matumbo yao na Jamaa zao.

Asikundanganye Mtu hakuna nchi ambayo imeendelea kwa kufuata huu mfumo tunaoufuata sasa hivi, hizo nchi zote ulizozitaja soma historia ndio utaelewa, zote zilijengwa wakati wa Udikteta wa Wafalme wao, haya mambo ya Uhuru wa kupitiliza wameyaanza juzi juzi tu baada ya kuwa tayari wameshaweka Misingi ktk katika nchi zao, na kila Mwananchi ana Elimu ya kutosha ya kumwezesha kuelewa nini kinaendelea nchini mwake, sasa sisi kwetu mtu anaambiwa akapige kura wakati hata kuandika neno kura hajui achilia mbali kuelewa maana ya Demokrasia!

Hata Nchi mpya kama Marekani kwa nini wana vyama viwili tu? Umeshajiuliza hilo swali? Nchi ya watu zaidi ya milioni 300 kwa nini kuwe na vyama 2 tu? Na ukiangalia sana ni kama Chama kimoja tu kwa maana havina tofauti sana,
Sisi kwetu tuko milioni 40 lakini vyama zaidi ya 20, kwa nini?

Angalia Japani kwa miaka 60 sasa inaongozwa na Chama kimoja tu, Singapore hata kura hawapigi, Korea Kusini nao Nchi yao ilijengwa hivyo kwa kunyima kila Mtu uhuru wa kuongea anavyotaka, Uchina, Vietnam nayo inakuja juu sasa hivi hakuna uhuru wa kijinga jinga!

Hivyo hata hapa kwetu hatuwezi kwenda popote kama Uhuru utaachwa hivi, angalia mambo ya Rasimu ya Katiba kila Mtu mtaalamu, kila Mtu anakwenda kwenye TV kuongea anavyojua yeye mwingine hata maana ya Rasimu hajui, lkn Maelfu ya Watu wanamsikiliza na kumuamini!
 
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!

Wewe ni kijakazi wa nani? Nape na Mwigulu?
 
Wee kijakazi naona umetaja mlolongo wa nchi zilizoendelea kwa kuwa na chama kimoja au vyama viwili.Vipi sisi kabla ya mwaka 1992 tulikuwaje? mbona hatukufikia kiwango cha hizo nchi ulizotaja? Nani analaumiwa kuiba mali za Watanzania? Si chama hiki cha zamani kinachoshutumiwa kwa ufisadi uliokithiri? mbona umeishiwa fikira sana? mbona unatia huruma sana? Me nadhani una dhamira nyingine na pengine kuna masilai yako yameathiriwa na harakati za CHADEMA ndo maana unatoa povu kwa UJINGA!!!
 
Nadhani ungetoa elimu kuuhusu sera mbovu za kuvutia wawekezaji zinazofanywa na hii serikali ya CCM ungeeleweka vizuri..Naomba utambue kuwa kitu kikubwa kinachoifanya Tanzania kuwa hapa ilipo ni sera mbovu za CCM kuhusu wawekezaji na siku sii nyingi vijana waliosoma na kukosa ajira kutokana na hizi sera mbovu za CCM wataingia barabarani kudai haki..Kingine cha pili ni ufisadi uliokithiri unaofanywa na viongozi na watendaji wa serikali,kampuni binafsi na wawekezaji na hiki kinasaidia hayo mataifa..
 
Wee kijakazi naona umetaja mlolongo wa nchi zilizoendelea kwa kuwa na chama kimoja au vyama viwili.Vipi sisi kabla ya mwaka 1992 tulikuwaje? mbona hatukufikia kiwango cha hizo nchi ulizotaja? Nani analaumiwa kuiba mali za Watanzania? Si chama hiki cha zamani kinachoshutumiwa kwa ufisadi uliokithiri? mbona umeishiwa fikira sana? mbona unatia huruma sana? Me nadhani una dhamira nyingine na pengine kuna masilai yako yameathiriwa na harakati za CHADEMA ndo maana unatoa povu kwa UJINGA!!!

Tatizo lipo hapo, mpaka Miaka ya '90 tulikuwa tunaenda vizuri sana tu, yaani tulikuwa tunamalizia kuweka Misingi ya kama ni Ndege basi ianze kuruka, kwa bahati mbaya sana kuna watu ambao hawapendi maendeleo yetu waliliona hilo (nahisi) hivyo wakatuingilia na kutushinikiza tuingie kwenye Mfumo wa Uhuru wa kupitiliza, na sasa Matokeao yake ndio hayo!

Unaweza ukawa hauoni hatua tuliyopiga, lkn mpaka Miaka ya 1985 watu waliokuwa wanajua kusoma na Kuandika Nchini kwetu walikuwa ni 88%, shauri ya Elime ya Watu wazima tulikuwa na tunawapita hata Nchi kama Uturuki, na mambo mengine mengi tu mazuri!

Hivyo tulikuwa ndio wazungu wanasema ready for take off kwa maana Misingi yote ilikuwa sasa tayari, ila sasa tukaingiliwa na mambo ya Uhuru usio na Mipaka!

Na jua kuwa CCM wakitoka madarakani kama leo mengi yatajulikana..Labda nikuuluze tena kijakazi wangu (mimi ni Mtanzania) Ni kwanini marais kama Obama,Bush, yule wa China na wengine wengi wa mataifa makubwa wanapishana hapo angani wakitoka na kuingia Tanzania? unadhani wanakuja kwa faida ya nani hasa? Unadhani ni kwaajili ya kuwaendeleza Watanzania kwanza? Mbona hawaendi nchi kama Ethiopia? Wahindi na Wachina waliojazana nchini unadhani ni kwa faida ya Watanzania?
 
Asikundanganye Mtu hakuna nchi ambayo imeendelea kwa kufuata huu mfumo tunaoufuata sasa hivi, hizo nchi zote ulizozitaja soma historia ndio utaelewa, zote zilijengwa wakati wa Udikteta wa Wafalme wao, haya mambo ya Uhuru wa kupitiliza wameyaanza juzi juzi tu baada ya kuwa tayari wameshaweka Misingi ktk katika nchi zao, na kila Mwananchi ana Elimu ya kutosha ya kumwezesha kuelewa nini kinaendelea nchini mwake, sasa sisi kwetu mtu anaambiwa akapige kura wakati hata kuandika neno kura hajui achilia mbali kuelewa maana ya Demokrasia!

Hata Nchi mpya kama Marekani kwa nini wana vyama viwili tu? Umeshajiuliza hilo swali? Nchi ya watu zaidi ya milioni 300 kwa nini kuwe na vyama 2 tu? Na ukiangalia sana ni kama Chama kimoja tu kwa maana havina tofauti sana,
Sisi kwetu tuko milioni 40 lakini vyama zaidi ya 20, kwa nini?

Angalia Japani kwa miaka 60 sasa inaongozwa na Chama kimoja tu, Singapore hata kura hawapigi, Korea Kusini nao Nchi yao ilijengwa hivyo kwa kunyima kila Mtu uhuru wa kuongea anavyotaka, Uchina, Vietnam nayo inakuja juu sasa hivi hakuna uhuru wa kijinga jinga!

Hivyo hata hapa kwetu hatuwezi kwenda popote kama Uhuru utaachwa hivi, angalia mambo ya Rasimu ya Katiba kila Mtu mtaalamu, kila Mtu anakwenda kwenye TV kuongea anavyojua yeye mwingine hata maana ya Rasimu hajui, lkn Maelfu ya Watu wanamsikiliza na kumuamini!
Kuna sheria, na yeyote anayekiuka sheria anahukumiwa kadiri ya sheria. Hata vyama vya siasa vinaendeshwa chini ya sheria ya vyama vya siasa 1992, na kama kuna chama kinakiuka kishughulikiwe kadiri ya sheria. Kama vinatenda bila kuvunja sheria, ila vinawakera watawala ujue watawala wana uchafu fulani unaoanikwa na hivyo wanakerwa na ukweli huo.

Unataka tusiwe na sheria tuishi kwa amri za watawala tu? Akinichukia leo ananiua bila sababu? Kweli kabisa sikuelewi.
 
Sheria hazina maana yoyote kama Watu ambao hizo Sheria zinapaswa kuwalinda hawawezi hata kuzisoma achilia mbali kuzielewa!
 
Pumbavu plus kilaza wewe angalia maneno ya kuandika hapa..nonsense
 
Nimeyaona majibu yako ya swali la pili na nasubiri ya swali la tatu(tafadhali jibu kwa kina kila kipengele) Sasa nikuulize kutokana na majibu uliyonipa ya swali la pili..Kuna tofauti gani kati ya serikali ya kuanzia mwaka 1984 kurudi nyuma(bahati mbaya nilikuwa sijazaliwa bado)na serikali nyingine zilizofuata? maendeleo yaliyofikiwa yalianza kuporomoka mwaka gani chini ya utawala wa nani? kutokea hapo kumekua na unafuu? wawekezaji walianza kuvutiwa chini ya utawala wa nani?wamesaidia wapi?
 
Back
Top Bottom