Kortini kwa kubaka ndani ya msikiti

Nilijua tu wasomi wa kiinjili utawaona humu..na wale wa kanisani vipi?

Hivi na wewe ni Shekh, maana unamtetea mtu ambaye ni mlawiti, na ambaye hafai kabisa kuwa katika jamii.

Shame on you x 3.
 
Tumain anaonyesha kupagawa kama kuku asiye na miguu, lol

Hii yeye ndie musilam pekee hapa jf?
 
Kortini kwa kubakia msikitini

Mashaka Kibaya Manyara

MHUDUMU wa msikiti wa Babati Mjini, Athumani Mdoe Sogora, 30, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa akiwa ndani ya nyumba hiyo ya ibada, Msikiti, mkoani Manyara.

Tukio hilo la linadaiwa kutendwa na mtuhumiwa Novemba 6 mwaka jana majira ya saa 4:00 wakati Sogora alipomlawiti kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Bonga.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Parmena Sumary kwa niaba ya Kamanda Luther Mbutu, baada ya sala ya jioni, mtoto huyo alikuwa amelala msikitini.

Taarifa inaeleza kwamba mtoto huyo alilala msikitini baada ya kutoroka nyumbani kwao kijiji cha Bonga na ndipo saa 04:00 mhudumu huyo alimlawiti na mtuhumiwa amekamatwa na alifikishwa mahakamani.

Gazeti la Mwananchi
Loads of coadswallop! Hii habari haijakamilika, na ndio waandishi wa kibongo wa miaka hii kwa kweli ni waandishi holela, ovyo kabisa! Na wasomaji nao upeo wa kuchambua pumba ni zero kabisa, kaazi kwelikweli! Matokeo yake ni malumbano ya kibwege.
Humanbeing are different in character regardless of their faith, kwani hakuna kesi kama hizi zimetokea kwa ma-padre makanisani? kwenye ma-temple? hata kwa wacha Mungu wengine majumbani ( don't ask me for a proof, as there are burden of proofs)
These are some of the naked flaws I found in this report:
1. Mhudumu = could be a cleaner, a caretaker, a daytime kibaka ,a homeless etc. haina maana ni Imamu ama kiongozi wa msikiti, as most comments suggest.
2. Tukio limetokea November last year, karibu mwaka! (when this case was first reported? when did this taarifa appear in Mwananchi newspaper?
3.Tukio limetokea saa 4 usiku za kiswahili ama 04:00 asubuhi? Clarification?
4.Baada ya sala ya jioni (6- 7pm)? kwa waisilamu kuna sala ya usiku, muandishi alimaanisha sala ya usiku ama ya jioni? were there other peoples sleeping in the mosque as well? There's too many flaws with this information and I can go on and on! Personally I can't regard this as reliable.
Siwezi kuipa uzito habari kama hii pamoja na umuhimu/uzito wake na huku ughaibuni ndivyo wengi wanavyopembua kati ya pumba na mchele .
Hawa waandishi wenu wazingatie mafunzo yao na kutuletea habari kamili.
(and before you start, I don't care about one's faith) ninachotaka ni waandishi makini wanaojua jukumu lao na influence ya kalamu zao kwa jamii.
 
Nilijua tu wasomi wa kiinjili utawaona humu..na wale wa kanisani vipi?

Kanisa linaingia vipi humu..? Au na wewe ulishawahiwa kufanyiwa kitu kama hiki ukakifurahia ? Maana ni muhali mja kutetea kitendo cha kishenzi kama hiki, labda tufumbue macho mwenzetu kulikoni?
 
Loads of coadswallop! Hii habari haijakamilika, na ndio waandishi wa kibongo wa miaka hii kwa kweli ni waandishi holela, ovyo kabisa! Na wasomaji nao upeo wa kuchambua pumba ni zero kabisa, kaazi kwelikweli! Matokeo yake ni malumbano ya kibwege.
Humanbeing are different in character regardless of their faith, kwani hakuna kesi kama hizi zimetokea kwa ma-padre makanisani? kwenye ma-temple? hata kwa wacha Mungu wengine majumbani ( don't ask me for a proof, as there are burden of proofs)

Siwezi kuipa uzito habari kama hii pamoja na umuhimu/uzito wake na huku ughaibuni ndivyo wengi wanavyopembua kati ya pumba na mchele .
Hawa waandishi wenu wazingatie mafunzo yao na kutuletea habari kamili.
(and before you start, I don't care about one's faith) ninachotaka ni waandishi makini wanaojua jukumu lao na influence ya kalamu zao kwa jamii.

I totally agree with you Mkuu!
Binadamu hatuko kamili...kuna perverts kila kona regardless kwamba ni Imam, shehe, padre, askofu.Hivyo basi inashangaza kuona kuwa kila kukicha kuna vinara wa kuleta upuuzi unaofanywa na hawa wachache kuonyesha ndio wasifu wa viongozi wa dini hizi mbili walivyo.
In short, initiators wa hizi threads ambazo mimi naziita BS kama siyo baby crap..wajirekebishe.
 
hakuna mtu atakayefurahia hili jambo, hebu tuchukulie ni mtoto wako amefanyiwa hivi, kwa kweli inauma sana
 
Back
Top Bottom