Kortini kwa kubaka ndani ya msikiti

Kortini kwa kubaka ndani ya msikiti

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Kortini kwa kubakia msikitini

Mashaka Kibaya Manyara

MHUDUMU wa msikiti wa Babati Mjini, Athumani Mdoe Sogora, 30, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa akiwa ndani ya nyumba hiyo ya ibada, Msikiti, mkoani Manyara.

Tukio hilo la linadaiwa kutendwa na mtuhumiwa Novemba 6 mwaka jana majira ya saa 4:00 wakati Sogora alipomlawiti kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Bonga.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Parmena Sumary kwa niaba ya Kamanda Luther Mbutu, baada ya sala ya jioni, mtoto huyo alikuwa amelala msikitini.

Taarifa inaeleza kwamba mtoto huyo alilala msikitini baada ya kutoroka nyumbani kwao kijiji cha Bonga na ndipo saa 04:00 mhudumu huyo alimlawiti na mtuhumiwa amekamatwa na alifikishwa mahakamani.

Gazeti la Mwananchi
 
Mh! Mtu ana lawiti katoto ka lanne hadi kwenye msikiti? Huyo mtu ana mapepo au ni vipi? Lord have mercy!
 
Kweli dunia inaelekea Ukingoni, watu wanafanya maovu hadi kwenye nyumba za ibada.
 
Kuna watu watakuja hapa muda si mrefu wataanza kulihusisha suala hili na mambo ya Udini..Inasikitisha sana kwa kweli.Tuiachie sheria ichukue mkondo wake
 
Kuna watu watakuja hapa muda si mrefu wataanza kulihusisha suala hili na mambo ya Udini..Inasikitisha sana kwa kweli.Tuiachie sheria ichukue mkondo wake

Mkuu hili suala hata kidogo si la kuhusisha na dini this is purely a personal behaviour and is nothing like to associate with the religion. Hii ni type ya watu wanaojifanya kondoo wakati wao ni mbuzi! Na mademu wote wa pale babati na huwa hawasemi no! Is so amazing to hear this..
 
Hii tabia ni mbaya na imezoeleka, maana sio mara ya kwanza au ya pili au ya tatu, ni mara nyingi haya maasi yamefanywa mfano mwengine ni hapo Tanga Mwalimu wa dini ya kiislam jina Kujata kaondoka na watoto eti anawapeleka dar kwenye maulidi kumbe kaja kumuaribu mtoto wa watu ,yaani kam... Mpaka pulu likatoka mtoto wa kiume wa form 1 ,
Wazazi chungeni watoto wenu watakuwa mashoga kutokana na tamaa ya watu wa chache wenye roho za shetani.
 
jamani hmtu akisema dunia imefika mwisho kwa nini tusiamini
huwa ni pepo au nini kinamtuma mtu kufanya kitendo cha ajabu namna hiyo
myuuuuuuuuuuuuuuuuz
 
Tunaomba sheria ichukue mkondo wake. Huu ni ushenzi usiovumilika katika jamii.
 
Kaazi kwelikweli. Muhudumu wa msikiti ndiye alitakiwa awe mhimili wa kutenda mema lakini anafanya kinyume chake. Balahau huyu.

Na hizi nyumba za kuabudu na taasisi zake kwa ujumla, hivi zinaweka tahadhari gani ili kutokuruhusu vitendo kama hivi kujirudiarudia ??
 
Mh! Mtu ana lawiti katoto ka lanne hadi kwenye msikiti? Huyo mtu ana mapepo au ni vipi? Lord have mercy!

Mkuu, Mapepo ndio hayo hayo majini ambayo huwa yanasali Msikitini.

Huu ndio Uislam, yack yack

Dini hii, kaaaazi kweli kweli,
 
Mkuu hili suala hata kidogo si la kuhusisha na dini this is purely a personal behaviour and is nothing like to associate with the religion. Hii ni type ya watu wanaojifanya kondoo wakati wao ni mbuzi! Na mademu wote wa pale babati na huwa hawasemi no! Is so amazing to hear this..

Mkuu, Watch your language; This is a serious accusation, Why are you generalizing? what are the basis of your accusations? Do you have any evidence to backup your statment? Au tu umeamua kuwatukana wadada wote wa Babati?

Naomba utoe evidence hapa au kufuta Kauli yako.
 
Sasa wanabaka ndani ya Msikiti wa allah!

Dunia imeisha hii.
 
Kaazi kwelikweli. Muhudumu wa msikiti ndiye alitakiwa awe mhimili wa kutenda mema lakini anafanya kinyume chake. Balahau huyu.

Na hizi nyumba za kuabudu na taasisi zake kwa ujumla, hivi zinaweka tahadhari gani ili kutokuruhusu vitendo kama hivi kujirudiarudia ??
Nilijua tu wasomi wa kiinjili utawaona humu..na wale wa kanisani vipi?
 
Back
Top Bottom