HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,364
- 94,545
Kangomba ndiyo tunataka waingie kwenye umasikini wamewaibia wakulima muda mrefu sana mkuu!
Ungetoa neno "wa masikini"Kila tunachofanya tunashindwa(jiwe anashindwa). Ndio kwamba sisi Ng'ombe wa masikini
Wapinzani ndo wamesababisha yote haya
kwani uliambiwa hao wakenya walitaka kununua korosho zote?Serikali inatafuta mnunuzi mwengine.Tahadhari ya Zitto na Lema kuhusu mnunuzi hatimaye ibainika kweli.
Tanzania open to new buyers of cashew
Nyie ndiyo mtauleta umasikini kwa watu mpaka mshangaeKangomba ndiyo tunataka waingie kwenye umasikini wamewaibia wakulima muda mrefu sana mkuu!
Utaingia wewe kwenye umasikini. Wao bado wapo sana tuKangomba ndiyo tunataka waingie kwenye umasikini wamewaibia wakulima muda mrefu sana mkuu!
Akili gani hiziWapinzani ndo wamesababisha yote haya
Punguza jazba, habari ni kwamba hiyo kampuni feki ya Kenya hawajanunua hata korosho moja kama walivyosaini mkataba na serikali kwa sababu ni kampuni ya makanjanja iliyotumia frustration ya kukwama kwa ubanguaji wa korosho kupitia jeshi la vita ya uchumi lililoenda na mtutu kuhakiki mashamba ya korosho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarudi kulekule kilio cha kaka Lissu-umakini kusaini mikataba.kwani uliambiwa hao wakenya walitaka kununua korosho zote?
Kangomba si ni waTz ?!. Furaha gani mkiwatia umasikini ?!. Mi naona kama mnasumbuliwa na tabia ya asili "UCHOYO"Kangomba katika ubora wake!
Nimekuwa nikilisema hili toka nijiunge na JF zaidi ya miaka kumi iliyopita kwamba adui nambari one wa Tanzania ni CCM! Lakini bado wadanganyika kwa ujinga ukiotukuka wakalisukumizia jiwe kutoka CCM madaraka. Ingawa inasikitisha lakini ukweli ni kuwa wachagua hovyo wasilalamike hovyo wakitendewa hovyo...na bado.
Tatizo lako unaandika unavyojisikia,ukiambiwa utoe ushahidi kuonesha kampuni imekimbia,utabakia kurembua tuTunarudi kulekule kilio cha kaka Lissu-umakini kusaini mikataba.
Fikiria mtu maisha yake yote ameishi dampo, alizaliwa dampo, akakulia dampo, akakomaa dampo na anaahidi kufia kwenye dampo halafu tunamsukumizia majukumu ya kutuondoa kwenye dampo, atupeleke wapi?Aiseeee !!! baada ya kusoma andiko lako nimeona aibu sana kuwa mbongo !
Swali ni je mtu huyo anajua nini nje ya dampo? Kama anaishi dampo na haoneshi kabisa nia ya kutoka dampo kwani hata makazi mapya yanapoanzishwa , yeye ni dampo tu hatoki na hapo hapo anadai hajui kwa nini dampo imekuwa makazi yake miaka yake yote hamsini na ushee duniani...hatujiulizi je samaki anajua maisha gani nje ya maji?Unajua unaweza kusimama mbele ya kioo na kujitazama kisha ukatikisa kichwa na kujiuliza "hivi na mimi ni bwege kiasi cha huyu Jiwe kuwa ndio mwamuzi wa maisha yangu?"
Hii yote ni process ya kuinyoosha nchi. Unakumbuka alipongezwa sana kwa hatua yake ya serikali kununua korosho?katika masuala kama haya kuna watu wanacheka wanafulahia haya yaliyo tokea ila tujue tanzania ni yetu sote tunaoumia ni sisi watu wa chini
hivyo basi washauri wa raisi au washauri wa mambo ya uchumi wanakazi gani wanashindwa kumsawishi mkuu kama ningekuwa mimi fukuza wote
hakuna cha maana wanacho fanya uraisi ni taasisi sio jukum la mtu mmoja haya sasa uchumi ndio hivyo inasua sua sasa dola moja inakalibia 2500
rai yangu tusishangilie haya watakao umia ni ndugu na jamaa zetu sote
tanzania ni yetu sote tuilinde kwa nguvu zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii yote ni process ya kuinyoosha nchi. Unakumbuka alipongezwa sana kwa hatua yake ya serikali kununua korosho?
Sent using Jamii Forums mobile app