Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,689
Umenipa somo sana kupitia maneno yako aise!!! Hakika maisha usikate tamaa daaah tunatoka mbali sanaAisee..tunamdisi tu ila anatupa funzo maisha ni kujaribu,hujui wapi utatokea
Kinachonikera anacheza rafu sana
Umenipa somo sana kupitia maneno yako aise!!! Hakika maisha usikate tamaa daaah tunatoka mbali sana
Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.
Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.
Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
Nani huyo aliyekudanganya kuwa tajiri ndiyo kuyapatia maisha???Nipanic kivipi?ndio ukweli huo,au ulitaka nipambe kwa uongo?Hata wewe hapo kakupiga gepu kubwa sanaaaa la kimaisha,ila unajifariji tu kwa keyboards za fake ID.
Kumbe Makonda ameanza usanii muda mrefu sana
Aisee..tunamdisi tu ila anatupa funzo maisha ni kujaribu,hujui wapi utatokea
Kinachonikera anacheza rafu sana
Na watu wabovu kabisa kwenye uongozi mostly ni watu waliopata div one....ni watu wa kawaida Sana ktk maishaMkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.
Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.
Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
gepu la nini??Nipanic kivipi?ndio ukweli huo,au ulitaka nipambe kwa uongo?Hata wewe hapo kakupiga gepu kubwa sanaaaa la kimaisha,ila unajifariji tu kwa keyboards za fake ID.
Jamaa anaishi maisha ya ndoto zetu money&power[emoji109][emoji109]Jamaa ni mpiganaji wa maisha kusema kweli [emoji109][emoji109][emoji109]
Wajinga pekèe ndio hufikiria mali ni hekima.Mkuu,wewe uliyepata dvs 1 za f4 & 6,GPA 5,Master,Phd na Uprofessa wako bado humfikii hata 1/3 bado unasaga gaga,pia ni kiongozi wako.
Hivyo maisha ni siri kwa yeyote anaweza kutoboa.
Elimu ya kiwango cha juu darasani ( formal education) sio kigezo cha kuwa tajiri au kiongozi mzuri(fanya utafiti wa vipanga na vilaza darasani utajiridhsha ninachosema).
Wajinga pekèe ndio hufikiria mali ni hekima.
Hata vitabu vya dini vinawahimiza muitafute elimu.
Heri kijana mwenye elimu kuliko mzee mjinga mwenye mali