cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Palitokea Mzungu mmisionari aliyefika kijijini hapo ambapo ambapo alipokelewa vema na wenyeji ambao ni wakazi wa hapo mzungu mmisionari huyu katika kujitambulisha na kueleza nia yake hasa ya kufika hapo kijijini ndio hasa habari yenyewe ndio iliyozaa jina la kijiji hicho.Katika kujitambulisha na mkalimani ndie aliyewapoteza kabisa wenyeji.
Mmisionari:My name is Brother johnson from The White father Missionary
Mkalimani:jina lake anaitwa kaka johnson kutoka kwa mababa weupe wamishenari.
Mmisionari:But also you can CALL ME ''J''!
Mkalimaniia mnaweza kuniita Call me jay!!!
Basi hiyo ilikuwa tabu sana kwa wenyeji kumwita Call me J ikawa koromije hata sasa....
KOROMIJE ilikuwa kiboko ya wasukuma hawa.