Koroboi au Kibatari bado zinadunda Bongo

mbona ndio maisha ya 80% ya watanzania kwani umeme umefika wapi jamani. Mi sishangai maana bado ndio main source of light at night for majority of tanzanians
 
hata katikati ya mji vinapatika sana mkuu, ila moshi wake nouma
 
Ooyooo hii kitu niliwahi kuiyona kwa mama muuza samaki wa kukanga na sijui kwa sasa bado vipo au la
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…