Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,981
Reaction score
4,174
_82903136_027122039-1.jpg

Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un

Serikali ya Korea Kusini inasema inaamini kuwa Korea Kaskazini inaweza kumiliki nyambizi kadha za kufanya mashambulizi kutoka baharini ndani ya miaka mitano inayokuja.

Hii ni baada ya Korea Kaskazini kuchapisha picha zilizomuonyesha kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un akitazama majaribio ya kuizindua nyambizi hiyo.

Korea Kusini imezikagua picha hizo za uzinduzi kwenye vyombo vya habari vya Korea Kaskazini na kusema kuwa ni za kweli. Korea Kusini ilisema kuwa uzinduzi huo ni suala inalochukuliwa kwa umakini na tahadhari kubwa sana.

Sasa Korea Kusini na Marekani zinafikiria kuweka ngao ya mitambo ya kuzuia makombora kutoka Kaskazini hatua itakayogharimu mabilioni ya pesa.

Korea Kusini ilisema kuwa uzinduzi huo ni suala linalochukuliwa kwa umakini na tahadhari kubwa. Hata hivyo haijulikani ikiwa makombora yanayofyatuliwa na nyambizi hiyo yana uwezo wa kubeba silaha za nuklia.

_82903138_027122755-1.jpg

Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un

Wadadisi wanasema kuwa Korea Kuskazini inaonekana kufanya mambo kwa kasi zaidi kuliko ilivyokisiwa kuunda zana zilizo na uwezo wa kushambulia kwa haraka.

Source: BBC
 
i real appriciate zes men.ni jukumu lao kujilinda dhidi ya hila mbovu za marekani na korea kusini
 
tumia akili ww uwezi kushiba kma kuna vita nchini kwako.usalama kwanza mambo mengine yanafuata.nchi kma korea kaskz na israel wamewekeza sana kwenye usalama coz it is dangerous phenomena for them.
 
SLBM.....Submarine lunched ballistic missile ni technology ya hali ya juu sana kuweza kufikiwa na Mataifa huru.....Mwezi uliopita tuliona IRAN nao wakiweza kulunch missile from submarine kwao hii waliita Strategic weapon kwan you will b capable of invading undetected na ikumbukwe IRAN and NORTH KOREA are termed as rouge states by US na zipo kwenye UN/US/UE Sanctions and their ballistic missile technologies are resembling refer NODONG of North Korea and SHAHAB 3 and SEJIL missile with the range of more than 2000KM.....So km IRAN alitest mwezi uliopita na akafanikiwa sishangai North Korea kutest na Akafanikiwa....Kwasasa RUSSIA,US,UK,CHINA,FRANCE,ISRAEL,IRAN,NORTH KOREA are preven nchi nyingine km INDIA PAKSTAN GERMANY ITALY SPAIN TURKEY nk Bado wapo kwenye level ya Torpedoe.....kwamba nyambiz zao zina fire torpedoe kwa kudungua warship na submarine
 
Unaweza kusaidia kutupatia idadi ya hao wahanga?!

In March 2011 a joint UN survey estimated that over six million vulnerable persons in North Korea urgently required international food assistance to avoid famine.

As estimated food shortages reached more than one million metric tons, the World Food Programme called it the worst famine in a decade, and South Korea-based NGOs and media with informants inside North Korea reported hunger-related deaths.

Causes include dismal harvests resulting from floods and an extremely harsh winter; economic mismanagement of a monetary devaluation scheme in November 2009 that wiped out many peoples' savings and heavily damaged informal food markets; and the government's blatantly discriminatory food policies that favor the military, government officials, and other loyal groups.

North Korea's two largest food donors, the United States and South Korea, refused to provide food aid until North Korea apologizes for the sinking of the South Korean warship Cheonan and shelling of Yeonpyeong Island in 2010.
Source
 
Hahahaha!! Ant-North Korea katika ubora wake.

Huyo north Korea, hana ubavu wa kumtisha Marekani, huwa wana Muacha tu, ni jibwa koko, nadhani kama miaka miwili hivi iliyopita lilizuka tafrani, hadi akaanza kupepeka makombola ili kuishambulia south Korea, USA, akasema sasa liwalo na liwe akaanza kujiandaa, heeee dogo akala uchocholo!! mala ikaja ile filamu ya kumuonyesha dogo, N. Korea wakapiga sana mkwara kuwa isionyeshe wakauvamia hadi mtandao wa SONY, na kuwa endapo wataionyesha USA, watajuta, kikowapi, mbona ilionyeshwa?!! na jeuri ya Marekani N. Korea alikosa mtandao wa Internet karibu kwa siku tatu. Huyo dogo hana ubavu huo. USA hana interest huko.
 
Huyo north Korea, hana ubavu wa kumtisha Marekani, huwa wana Muacha tu, ni jibwa koko, nadhani kama miaka miwili hivi iliyopita lilizuka tafrani, hadi akaanza kupepeka makombola ili kuishambulia south Korea, USA, akasema sasa liwalo na liwe akaanza kujiandaa, heeee dogo akala uchocholo!! mala ikaja ile filamu ya kumuonyesha dogo, N. Korea wakapiga sana mkwara kuwa isionyeshe wakauvamia hadi mtandao wa SONY, na kuwa endapo wataionyesha USA, watajuta, kikowapi, mbona ilionyeshwa?!! na jeuri ya Marekani N. Korea alikosa mtandao wa Internet karibu kwa siku tatu. Huyo dogo hana ubavu huo. USA hana interest huko.
Kwa qema gani unaisapoti USA to that extent au misaada ya condom na net
 
computer, internet zote msingi wake ni zero na one,0 na 1 na computer ndo ina understand hivyo not otherwise, kwa hiyo nyani ngabu tusitumie 0,1 kwa kuwa waligundua watu wengine
 
Nyani ngabu unahisi bila satellite tungepata internet, na jiulize nani wa kwanza kurusha na kugundua satellite duniani? acha ujinga nyani
 
Back
Top Bottom