Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

hao North Korea hawana cha kumfanya marekani yeye anatest sasa hivi hivyo vikombora mwenzake marekani alishavitengeneza miaka mingi sana hata akiwa na Nyuklia mmarekani katumia Nyuklia tangu vita ya pili ya dunia miaka kibao imepita we ndo unatengeneza leo alafu unasema unaweza kumshinda
 
Wacha masihara wewe. Ukipata nafasi kuja Tanzania jaribu kutembelea vijiji vya kwenu usukumani halafu ulinganishe na North korea.

Hata sasa hivi nipo huku Ikungulyabashashi na habari za North Koera sitaki hata kuzisikia.
 
Wacha masihara wewe. Ukipata nafasi kuja Tanzania jaribu kutembelea vijiji vya kwenu usukumani halafu ulinganishe na North korea.

unachosema ni kweli kuna vijiji Kondoa hapo nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanakula mlo mmoja tena unaweza ukawepo au usiwepo
 
unachosema ni kweli kuna vijiji Kondoa hapo nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanakula mlo mmoja tena unaweza ukawepo au usiwepo
Wacha habari ya kupata mlo, huko usukumani kwa babu zake Nyani hata maji ya kuupikia huo mlo wanawake wanayatafuta kwa masaa, sasa sisi na North Korea wapi na wapi!
 
Tanzania misada kila kona ya dunia na bado hali ni mbaya. Sion mantiki iliyo bora ya kulinganisha Tanzania na North Korea kwani wakorea wao misada hawana na vikwazo juu lakini wanaendelea, ingekuwa TZ ndio yenye vikwazo basi ingekuwa tayari imeshapotea katika ramani ya dunia. IGA UFE.
 
Kwa qema gani unaisapoti USA to that extent au misaada ya condom na net

ukweli utabaki kuwa palepale,uipende usiipende USA, ni baba lao! japo wana mabaya yao, ila wana mazuri yao, Afrika ndio mpokeaji mkubwa wa misaada hiyo, wasinge kuwa wao kuingilia kati janga la EBOLA, leo tungekuwa tunaongea mengie, labda hata wewe usingekuwepo, wakati wanapeleka jeshi huko afrika magharibi, kupambana na ebola mengi yalisemwa, hao wachina, korea, na Russia michango yao iko wapi? "Hizo ARVS, bila serikali ya USA, ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom