Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

Korea ya Kaskazini yazindua silaha kali

North korea hana lolote, wasioijua history of USA ndo ataweza isifia north korea.
 
ukweli utabaki kuwa palepale,uipende usiipende USA, ni baba lao! japo wana mabaya yao, ila wana mazuri yao, Afrika ndio mpokeaji mkubwa wa misaada hiyo, wasinge kuwa wao kuingilia kati janga la EBOLA, leo tungekuwa tunaongea mengie, labda hata wewe usingekuwepo, wakati wanapeleka jeshi huko afrika magharibi, kupambana na ebola mengi yalisemwa, hao wachina, korea, na Russia michango yao iko wapi? "Hizo ARVS, bila serikali ya USA, ingekuwaje?
Ni kweli marekani inawasaidia sana afrika japo kuwa kuna watu wanaidharau marekani
 
Ni kweli marekani inawasaidia sana afrika japo kuwa kuna watu wanaidharau marekani

Mimi sidhani kama wanaidharau Marekani.

Ni kwamba wanai-admire ila hawataki tu kukubali waziwazi.

Moyoni wanaikubali sana, tena sana tu.
 
computer, internet zote msingi wake ni zero na one,0 na 1 na computer ndo ina understand hivyo not otherwise, kwa hiyo nyani ngabu tusitumie 0,1 kwa kuwa waligundua watu wengine
Mkuu naomba unieleweshe hiyo internet computer nani aligundua na hiyo hesabu ya 0 na 1 inatukaje kwenye computer
 
Back
Top Bottom