FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.
Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.
Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.
Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:
View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj