Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
Darisalama na ile aliyojengewa ya uspeaker mstaafu.Kuweni serious basi kwamba alijenga wapi ?
Darisalama na ile aliyojengewa ya uspeaker mstaafu.Kuweni serious basi kwamba alijenga wapi ?
Duuuh hatare sana familia iliyobaki itajengaDarisalama na ile aliyojengewa ya unipolar mstaafu.
Muda wote huo asiwe na nyumba sii itakuwa maajabuWabongo utawaweza mi nimeshaenda kongwa nikakaa mwezi mmoja nilionyeshwa hadi kwa JOB NDUGAI ananyumba kali tu ukiachana na hapo Ana nyumba kibao tu kali Sema wabongo wambea sana na hatufanyagi Ata utafiti
Huwajui vizuri Wagogo weweMuda wote huo asiwe na nyumba sii itakuwa maajabu
Wakoje meku ?Huwajui vizuri Wagogo wewe
Imagine 😁Ni utaahira kuogopa siku ya mazishi wakati pale kinachozIkwa ni mwili usiokuwa hai. Hauoni wala hausikii
Mtihani sana wale watuWakoje meku ?
DuuuhhMtihani sana wale watu
Ule wa uwanja wa chato ulipitishwa na bunge lipi na lini?Duh
apumzike kwa amani.Atakumbukwa kwa miradi mikubwa ambayo nchi inajivunia ilipitishwa na bunge lake
Jo,huwa wakati unasifu na kupiga makofi,kwanini hukuchukia na kutoa dosari na kasoro katika yale yaliyopigiwa kelele na masikio yakazibwa kwa kuwa ilionekana ni kuwasummbua wengine?Acha hizo