Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 11,759
- 17,128
Mi ujumbe wake kwa raisItaje
Mi ujumbe wake kwa raisItaje
Slow slow awe chanzo!We jamaa!!!Je? kama yeye ndo chanzo
Hivi nyie mnamuonaje MUNGU? Huyu hawezi kupumzika Kwa AmaniDuh
apumzike kwa amani.Atakumbukwa kwa miradi mikubwa ambayo nchi inajivunia ilipitishwa na bunge lake
Marehemu unaonaje fedheha!? Binadamu na mahangaiko!Mchaga akipata chance cha kwanza anajenga kwao kuepuka fedheha siku ya mazishi
We job ananyumba kali tu mitaa ya nyuma ya halmashauriKongwa ndo home ila mpaka aibu. Hope pamejengwa nyumba ya Heshima. Kama VP SUMMA waende kujenga Hata room 3
Ujenge nyumba ya kuishi popo?PAmoja na hayo, nyumba ina umuhimu wake, ukipata nafasi jenga nyumba.
Kongwa kuna barabara za rami mzee na taa za barabarani ila mji ule watu wanalala mapemaTulia uone drama Kongwa zaidi ya maturubai usitegemee maajabu
Nikijenga mjini inatosha, kujenga kijijini ili kufurahisha waombolezaji siku nikifa ni uzwazwaPAmoja na hayo, nyumba ina umuhimu wake, ukipata nafasi jenga nyumba.
Wabongo utawaweza mi nimeshaenda kongwa nikakaa mwezi mmoja nilionyeshwa hadi kwa JOB NDUGAI ananyumba kali tu ukiachana na hapo Ana nyumba kibao tu kali Sema wabongo wambea sana na hatufanyagi Ata utafitiKuweni serious basi kwamba alijenga wapi ?
Inaleta Heshima kwa mwenza na familiaNikijenga mjini inatosha, kujenga kijijini ili kufurahisha waombolezaji siku nikifa ni uzwazwa
Basi itakuwa kuna tafsiri mpya ya neno heshima.Inaleta Heshima kwa mwenza na familia
Uko sahihi kabisa, huwa wanaachia mijengo ya nguvu huko kijijini alafu unakuta wao wanaishi Dar es Salaam na mikoa mingineMchaga akipata chance cha kwanza anajenga kwao kuepuka fedheha siku ya mazishi
Hizo mindset ndio zinafanya miji kama hiyo kubaki nyumaAlikuwa anaogopa kurogwa
atakumbukwa kuwakumbatia na kuwabeba COVID19Duh
apumzike kwa amani.Atakumbukwa kwa miradi mikubwa ambayo nchi inajivunia ilipitishwa na bunge lake
Wabongo Wana akili .ndogo Sana mkuuNi utaahira kuogopa siku ya mazishi wakati pale kinachozIkwa ni mwili usiokuwa hai. Hauoni wala hausikii
Na zote kaziacha 🥹 Hivi maisha yana maana gani? nikiwaza kifo nachoka kabisa.Wabongo utawaweza mi nimeshaenda kongwa nikakaa mwezi mmoja nilionyeshwa hadi kwa JOB NDUGAI ananyumba kali tu ukiachana na hapo Ana nyumba kibao tu kali Sema wabongo wambea sana na hatufanyagi Ata utafiti