mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
Midomo jumba la maneno.mpo kolomije mtajuaje ya dar?watu wana mapanga n.k.wamejiandaa utapambana nao vipi.?naona video zimekuja mpaka huko mikoani.Yale mnayoyaona kwenye video MTU mmoja anapigana na watu 100.ni maigizo sio kweli.usije ukajaribu ICU.itahusika