Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
khaah.., nenda kasaidie ndugu zako!! wangojea taswira ?!!Nangojea picha
khaah.., nenda kasaidie ndugu zako!! wangojea taswira ?!!Nangojea picha
kajambe huko!!!!Kama hilo limetokea, inamaanyisha watu wakigombana ni mapanya !?
Acheni kuchafua Dar iliyo salama, na kuzidi kuimalishwa katika ulinzi wa wananchi wake.
Dar hawakai wanaume wana kaa wavulana na akina mamaKweli watu wa dar ni shida yana mtu unaweza kuuawa mchana kweupe na watu wanaona lakin ucpate msaada
Ukiwakuta wanao sheki ujue watu wa Zanzibar dar wapo wavulanaWanaume wa dar wanachokiweza ni ku "sheki"
Huyu ni Bashite tu hamna mwingine.Daud Bashite ndio mmiliki wa vikundi vya kihalifu jijini Dar, wala msiumize akili zenu.
Alafu rpc kasema kutekwa ni jambo la kawaida tu mkuuDaud Bashite ndio mmiliki wa vikundi vya kihalifu jijini Dar, wala msiumize akili zenu.