Kong'ota

Kong'ota

nahisi wa kusema kauli jizo si mwingine ni mpoki. wana jf zawadi ya ushidi
 
A.B.C.D.E.F.G.H.I.J.K.L.M.N.O.P.Q.R.S.T.>>>Chukua ufuto wa penseli yako,futa mchanganyiko wa alfabeti na konsonati 7 za mwanzo,halafu ruka nenda kaanzie mbele kurudi nyuma futa 7 tena.Hizo mbili zilizobaki ndo jibu lako!,ila usilitaje,ukilitaja ni wewe sio mimi.
 
Hapo mkuu unatutafutia 'kasha'. Akha! Me sina jibu.
 
Mkuu Yutong mbona hutaki kutoa jibu na mji unatajiwa basi tukuchagulie ndege.
 
tataka kwenda kwa mfalme mswati mnasemaje?
 
Wafaransa wanasema;'ukiona uji ni wa moto sana,anza kuunywa pembeni,usianzie katikati'.Watu wanazunguka tu,jibu wanalo,uji ukipoa watakupa jibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom