trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
This is so true...
Itabidi tupange this weekend wajukuu wote tukutane na tuongee.
Hahahahahah!Niko pouwa sasa.... missing you too, ila tu nasikia kuna siku umepiga ugali mbichi.... sikutaka kuamini ila Golden Mpolee alinihabarisha....lol
offer + acceptance = binding contract
Haijalishi
We ni ka smoo hausi kangu till desi du azi pati.
Hahahahahah!
Big sisty hope kwa vile chanzo chenyewe cha habari ni ndugu yangu GP najua unaufahamu ukweli lol!
Wapi my big shem jaman namiss sana naona mwali ndio ana bahati naye tu!!
Orait,umesomeka big sisy,Umeona eeeh?? Chanzo chenyewe sababu ni sensitive niliona bora tu nikubali aone nimekubali....lol
Hivi humjui shem yako? anapenda kung'ang'aniwa huyo (uvivu umemzidi); hivo basi inatakiwa na wewe ukimuandalia chakula usikubali Mwali amnawishe mkono. toa woote dinning hapo baki na shem wako peke yako uendelee kumhudumia...lol
Basi, tufanye open marriage kiainaNaona kama nimetembelewa na karoho ka wivu. Dah!
Asante, born a star!hehehe babu kapata bibi!
nawatakia kila la kheriii , luck you kongosho.
Mmmh, miwitu tu. We si ulinililia PM wewe nikakuchunia kama sikujui.maji mara moja sio? Maana hata mimi majuzi nilimPM nikamwambia niko samaki samaki wacha aje mbio,konnie bana!
Kweli najuta kutokusikiliza! Na akija namleta straight kwako!Wewe si nilikuambia wanaume sio maneno tu na vitendo pia.... Ivuga ana maneno mengi matendo haoneshi....lol... Yule kabakabana wa Excellent, kisha ula wa chuya mwenyewe atajilta ndio ataponitambua!
mmmmmmhhhhh (source: The Boss) loooooolzI have observed that sweetie.... shez back at being a good gal that Ivuga is no good for her.... I think she should just stick around with her ankal and learn more about men.
:A S 39:Am still planningKongosho dear.... Karibu saana kwenye familia yetu... Ni bahati ilioje kumpata mke mwenza kama wewe... najua nitapata mengi kwako; Ila tu nina swali; huyu shem wangu ODM kisha kuahabarisha habari za Zion D? if yes then no Problemo.... Tutakuandalia na sherehe ya wamama peke yao tukupe umbea wote wa familia.:tongue:
Hahahahaha, Cantalisia na wewe umeona babu alivo fanya? bora hata angetangaza kua anatafuta ili tujipange.Hongera Babu kwa kuopoa jibibi la nguvu lol!
Ila baadae tuna kikao cha wajukuu wote,
Just get prepared coz lolote laweza kutoa babu,is unfair kbs lol!
Mi niko tayari. Husninyo amesha tutoka (Fang),My dia mwali ndio km hivo umeona maamuzi ya babu,
Hili wala lisikupe tabu ndugu yangu,
Njoo huku nikupe mpango mkakati wa haya maamuzi ya huhu Mzee,
Kinahitajika kikao cha haraka na cha dharura cha wajuu wote!
Orait,umesomeka big sisy,
Niaply imidiet!
Naona mwaka huu ushaanza vibaya,umeona maamuzi ya babu odm?
Mbaya zaidi nawe umempa sapoti hapo,sie wajukuu wote ambao hatukushirikishwa ktk maauzi,
Tumeazimia kufanya kikao cha zarura kuhusiana na tukio hili ambalo halijatutendea haki,
Mbona kukaguliwa tukaguliwe wote alafu aolewe mmoja!!!!!????
furaha iliyoje to see you back,karibu na pole.
ila mi nashangaa babu yenu anahangaika na dume jenzake,uzee mbaya aisee yaani hadi macho yanashindwa kutofautisha He na She.
Kweli najuta kutokusikiliza! Na akija namleta straight kwako!
mmmmmmhhhhh (source: The Boss) loooooolz
Nimeona wangu,ila km Zion D. kaletewa mwena sitashangaa kongosho naye akizoeleka akaolewa mwingine!!!Hahahahaha, Cantalisia na wewe umeona babu alivo fanya? bora hata angetangaza kua anatafuta ili tujipange.
Yaani mimi na wewe tumepigwa kanzu kavu kavu kwa kisigino...dah!rejaoooooooooooooo!!!!!
:A S 39:Am still planning
Anyway, huyo Zion D haina shida ntaishi naye tu, ili aweke heshima mbele maana mni naye kwa timbwili si haba.
Wajukuu wote nitataka kuwafahamu, ila MJ1 ataipata.
Alikuwa ananinyasanyasa sana zamani.
Exactelly. Nikikuona na Uncle naona the perfect couple. Sasa naogopa nikijenga picha kua wanaume wako kama alivo Uncle wangu, alafu nije nikutane na kina Ivuga, si ndio nitaumia double? Uncle ni exception, I can't learn the rules from the exception Anti...My mwali nakuambia kila siku I want what is best for you ukaona nakubania... mimi nia yangu upate alie bora kama ankal wako....lol
Alafu mbona waguna? you think there can be any better example of the one you should have?