Hii hapo chini ilikuwa kauli yake, unless aseme tu alikuwa anatania, ningemwelewa, hata hivyo nikajoke hakunielewa, akatake personal na sasa anadai eti nina chuki binafsi, for what?Kitu gani?jmushi1 and Lizzy
nainua mkono, nina kitambaa cheupe
alama ya mapendo jamani
ooo zibola.
Nawapenda jamani, make peace not pieces.
Lizzy said:Kongosho nakuchukia kama chai yenye viungo.
Hii hapo chini ilikuwa kauli yake, unless aseme tu alikuwa anatania, ningemwelewa, hata hivyo nikajoke hakunielewa, akatake personal na sasa anadai eti nina chuki binafsi, for what?Kitu gani?
There was nothing wrong to begin with.I know, it was a joke mwanzo, lakini hamkuelewana hapo.
Basi yaishe, ukikasirika sana utazivuruga ndevu bure
na lizzy atavuruga afro bure.
Hope it is over, right?
There was nothing wrong to begin with.
Wakupeleka wewe?You are out of my league. . . stay there loser.
Kama kuchangia thread ni kujipitisha basi wewe unajiuza.Wakupeleka wewe?
Unavyojipitisha everywhere wa kaz gani.
Eti league,ipi hiyo?
Nimeshindwa hata kulala namuwaza huyu mtu! Nachoomba ni kimoja tu kutoka kwake ,ataje jinsia yake kama ni mwanamke nitaendelea kumuapreciate kama kawaida, na kama ni mwanaume walahi tena napeleka posa.
Nihangaike na kina nani?Kama kuchangia thread ni kujipitisha basi wewe unajiuza.
Narudia tena, mimi sio saizi yako. Hangaika na vilaza/wambea na vimbelembelewe wenzako wanaokurupuka na mambo wasiyoelewa wala yasiyowahusu.
Nihangaike na kina nani?
Hata kama thats the case, wewe ni a turn off.
Hizi kauli nyingine jamani tujaribu kuzikwepa kwepa kidogo maana kidogo niingie choo cha stendi kuna huna maana hiyo!
Hahahahha. . .
And who said I was here to be a "TURN ON" to you or anybody else?
That's what porn is there for NOT ME!
lizzy,seems like you know this guy!lol
Nihangaike na kina nani?
Hata kama thats the case, wewe ni a turn off.
kwani vyoo vya stendi vibaya?
He ain't worth knowing so . . . I DON'T!!
vichafu tu..si unajua vinatumika kuliko barabara!
nilikuwa sijui sijawahi vitumia
i have been reading your whole conversation and i think if you met,you would slap one another
My hands don't touch everything that moves. . .
Alafu naona kama kauchochezi flani hivi. Ngoja niende zangu!!