Kongole sana Peter Msechu

Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi? View attachment 1733589
jamaa katisha sana
 
Huu ndio wimbo wetu mkuu,
 
Sio wewe tu kaka bali Watazania woote. Hakika huu msiba umetupa fursa watanzania kutofautisha upi mchele na nini pumba baina ya wasanii wetu wa muziki hapa Tanzania (hasa wa kizazi kipya)...hili ni funzo kuwa kuimba bongo flavour na kupata umaarufu mkubwa hakumaanishi kuwa wewe ni mwanamziki . Aisee huyo dogo ni hataree...arafu mbaya zaidi kawimbo kenyewe kafupi basi kila dk mtu unakaradia rudia
Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi? View attachment 1733589
Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi? View attachment 1733589
 
Bongo star search inatoa vipaji haswa pongezi kwao kwa kutuletea peter msechu nawashauri ccm wamuajiri awe komba wao
 
Surely but all to all ile beat ni copy and paste kutoka kwa yule jamaa wa Nigeria sijui nani vile.
 
Wasanii wa Tanzania katika kutengeneza nyimbo za maombolezo tupo chini sana. Wasanii wanachojua ni kupiga piga kelele hivyo na kukunja masura yao utadhani wamelamba chumvi na ndimu.....

Ila wenzetu aaaaaaah alhamdulahi wanajua kukutengenezea wimbo wa kukutoa machozi. Ngoja niwape mifano....

Tafuta hizi nyimbo zifuatazo......

1.Elton John - candle in a wind
2. Michael Jackson - Gone too soon
3. Aliyah - i miss you
4. Spice girls - Viva Forever
5. R. Kelly - i wish
6. Charlie Puth - See you again
7. Puff daddy ft Faith Evans - Missing you
8. kirk franklin - Lean on me
9. Boys2Men - Its so hard to say goodbye to yesterday.
10. Marsha Ambrosius- Far away

Sikiliza hizi ngoma chache tu nimekuwekea hapa utaona tofauti ya namna wenzetu wanaunda beat, mashairi, melody, mpangilio wa sauti, na hata video na maudhui utaona vyote vinavyohamsha hisia za kuomboleza na machungu.......
 
Kuna yule aliekopi sauti na midundo ya Ekueme sasa hapo kikazi ni kosa kubwa sana..Sijui kama anajua kosa alilofanya kisheria.Ila Inaonyesha tu wasanii tulionao hawawezi kujifunza na sio wabunifu
Ekhuma khuma mamaeeee! Akipelekwa kwa pilato atafirisiwa.
 
Ashaurike kwenye suala la uzito. Anakoendea siko. Na ni muda mrefu tu mashabiki wanamuomba aangalie mwili ule, ila wapi! Sitaki kuamini kuwa ameshindwa kabisa kufanya diet!

Peter Msechu huo mwili ni hatari kwako wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom