kuna mingine ya ovyo asee aibu hata kuiplay.Yes jamaa katisha, Kuna Mmoja nimeona nikabaki kucheka tuu
jamaa katisha sanaWakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi? View attachment 1733589
kuna mingine ya ovyo asee aibu hata kuiplay.
Huu ndio wimbo wetu mkuu,Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi? View attachment 1733589
Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.

Peter msechu ni wa bongo star search hivi?!Bongo star search inatoa vipaji haswa pongezi kwao kwa kutuletea peter msechu nawashauri ccm wamuajiri awe komba wao
Ekhuma khuma mamaeeee! Akipelekwa kwa pilato atafirisiwa.Kuna yule aliekopi sauti na midundo ya Ekueme sasa hapo kikazi ni kosa kubwa sana..Sijui kama anajua kosa alilofanya kisheria.Ila Inaonyesha tu wasanii tulionao hawawezi kujifunza na sio wabunifu
NdioPeter msechu ni wa bongo star search hivi?!
Kwa mwili huu atakosaje kibamia kwa mfanoMkuu hii picha uliyoweka ni ya zamani sana picha yake ya jana akiwa msibani hii hapa..