Kweli wewe "mdomo Bakuli "Use ya brain unapoongea na watu!
Mbona kukiwa na maendeleo kwa wakulima mnasema serikali ya sisiem ndo imewainua?
Mbona mama lishe wakipata mabanda mapya mnavaa jezi zenu kwenda kuyazindua?
Huwezi kutenganisha maendeleo ya wananchi na serikali iliyopo madarakani!!
Wala huwezi kutenganisha umasikini wa wananchi na uongozi wao!
Hakuna mifumo bora ya kumuinua mkulima!
Hakuna mifumo bora ya kuwainua machinga!
Yeyote anaeotoboa ni kwa ujanja ujanja tu na sio mifumo halisi!
Vua koti la chama kabla hujaja kuongea mbele yangu.
Kura yako wewe mlalamikaji wa kila siku peleka Chadema ruksa mkuu. Shida haziwezi kuisha siku moja mkuu haya mambo ya shida mbalimbali yapo tu mpaka mwisho wa dunia lakini juhudi tunaziona mkuu!Mtizamo wa kila mtu hauhitaji kubezwa,ni mtizamo tu kuwa CCM Mwanza itashinda saa mbili asubuhi
Nisaidie ni kwa lipi litakalofanya ishinde asubuhi?
Tuko Mwanza mjini jimbo la Ilemela just few kms from lake victoria....Nyasaka tuna zaidi ya miezi sita hata tone la maji hatuna! Hayo ndo maendekeo unayoyaongea?
Jimbo la Nyamagana, Nyegezi majengo anakoishi mbunge mwenyewe maji ni shiiiidaaa kila leo mnakuja na song lilelile kuwa kuna mradi kabambe utamaliza tatizo la maji jiji la Mwanza...Are we crazy?
Kampeni unaruhusiwa endelea kufanya lakini mnafeli sana tu. Huwezi kutuambia maji yamekuwa kidogo sababu ya ongezeko la watu.....hivi serikali haina master plan?
Mkitaka kujipima kama mnakubalika unavyodai,wekeni tume huru na muachane na polisi halafu muone muziki ulivyo mnene!
1)mfumuko wa bei (2)dawa za binadamu(3)miundombinu.Taja mambo matano yaliyofanywa na utawala huu yaliyomnufaisha mwananchi wa kawaida
Wakija na majibu ya research badala ya "tumesikia... tumeambiwa... ni maagizo kutoka...." unitag MkuuNimekwambia fanya research utapata majibu
Naam Mkuu... ndio maana hata wao wanabaguana "huyu mwenzetu na huyu si mwenzetu..."Membe akifanya anaambiwa kuwa kaanza kampeni mapema, ila kwa kuwa mwanza ni wasukuma, wana haki ya kufanya kila jambo
Sio vibaya kujipa matumaini.
Unawafahamu wasukuma wewe wakisha choka?
Haya yakifanywa na chadema, mtasema tu, wameanza kampeni kabla ya mda.
Hawana uwezo huo mkuu!Wakija na majibu ya research badala ya "tumesikia... tumeambiwa... ni maagizo kutoka...." unitag Mkuu