Hata kama sijaelewa lakini nasema Big UpppppGeteGete Kokaya sana Bhamishagi yawiza sana BAVICHA!!!!
Hata kama sijaelewa lakini nasema Big UpppppGeteGete Kokaya sana Bhamishagi yawiza sana BAVICHA!!!!
Mkuu kuelimishana kuhusu Katiba Iliyopo mazuri na mapungufu yake ni kosa kisheria?Mmeanza tena kuwatafuta wakina Kingai na wenzake...
Hii nchi watawala hawataki kabisa kusikia hiko kitu
Ni ushauri mzuriShikilia hapo hapo.
Lakini sasa ni lazima muwe na mkakati maalum na mpangilio mzuri wa haya mambo yote mnayofanya, isije ikawa ni moto wa mabua.
Hawa wanaohudhuria makongamano, inaelekea wengi wao tayari ni wanachama wenu au wapenzi wa chama. Hakikisheni hawa wanaiva vizuri kutokana na makongamano hayo, na hawa ndio watakaoeneza habari kwa wananchi wote nchi nzima.
Yasije yakawa madoidoi tu, wanapotoka hapo na wao wasiwe wanajuwa kitu!
Kumbukumbu zenu zinaonyesha maendeleo mnayofanya hadi sasa? Mnayo 'feedback' ya kujuwa wapi pana udhaifu ili mrekebishe mapema?
Mnajuwa mmepata mafanikio kiasi gani hadi sasa, tokea muanze shughuli hizi?
Ni lazima mfanye mambo kisayansi, vinginevyo hata wakati mkiboronga bila ya kufanyiwa faulo yoyote, msigeuke kulaumu wengine kwa lawama zinazowahusu nyinyi wenyewe kwa kutojuwa mnachofanya na matokeo yake ni yapi.
Ushauri ni ushauri tu.
Madaraka ndio uroho wenu. Katiba sio madaraka tu.uroho wa madaraka hiyo katiba wanataka cdm tu
AminaaaChadema ni mpango wa Mungu ili kuwakomboa watanganyika shidi ya mkoloni wa kijani.
#MaendeleoHayanaChama
Naomba tuanze kampeni ya kumtangaza Zitto Kabwe kwamba ni adui number moja wa madai ya Katiba mpya .Katiba Mpya ndio mpango mzima.
Take that, take that!!!uroho wa madaraka hiyo katiba wanataka cdm tu
Kwa mfano chama gani unachokitambua wewe hapa Duniani kinachopata viongozi kwa usaili?Kuna lile kundi lililoshikiwa akili la UVCCM wao wanaendana na fursa na biti za Rais, kwasasa msimamo wao ni kua katiba mpya siyo hitaji la waTanzania kisa tu mtu flani amesema.
Siku huyo mtu akisema jamani tunahitaji katiba mpya utawaona wanageuka Kama matete au tiyara inavyopelekwa na upepo.
CCM ingekua chama kizuri Kama ingekua haifungamani na Serikali, nikiimanisha viongozi wa kiserikali watokane usahili siyo uteuzi.
GeteGete Kokaya sana Bhamishagi yawiza sana BAVICHA!!!!
Wabjeja sana NGIKA....Degelekaga nyaanda,ulena masala get oo bebe.
Ale Nzubha obhise BHAGIKA....Halafu nyie watu jaribuni basi kuwa na heshima kwa chifu Mkuu wa kabila lenu.
Halafu nyie watu jaribuni basi kuwa na heshima kwa chifu Mkuu wa kabila lenu.


Hangaya oyeeee !!!Mbona ipo muda mrefu sana ! Kwani Mrema huyu huyu Kikongwe kaoa tena ?Mbona taarifa imetufikia usiku au ulikuwa busy na ndoa ya Mrema.
Zitto ana wivu na ghilba. Alidhani alivyohama Chadema itakufa. Yuko ladhi kufanya jambo lolote baya hata kama litawakost wananchi lakini Chadema isifanikiwe.Naomba tuanze kampeni ya kumtangaza Zitto Kabwe kwamba ni adui number moja wa madai ya Katiba mpya .
Mtandao wa buchosa hukoKatiba mpy moto chini. Tunaambiwa wanaotaka katiba ni watu wa mitandaoni. Sijui huo ni mtandao gani wandugu
Mungu ibariki CHADEMA!Wale vijana bora na tegemeo la Taifa wanaoitwa Bavicha , leo wameendesha kongamano kabambe la Katiba Mpya kwenye Jimbo la Buchosa , ambapo viongozi mbali mbali wametoa mada kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Mwitikio na hamasa ya wananchi si haba .
Hapa ni Kata ya Kazunzu
View attachment 2163084
Ya kudai katiba mpya kwa manufaa ya woteMnampasua kichwa bimkubwa sijui mnataka awafungulie kesigani sasa!
Katiba mpy moto chini. Tunaambiwa wanaotaka katiba ni watu wa mitandaoni. Sijui huo ni mtandao gani wandugu


