Kongamano la Katiba Mpya larindima Buchosa

Kongamano la Katiba Mpya larindima Buchosa

Mkuu kuelimishana kuhusu Katiba Iliyopo mazuri na mapungufu yake ni kosa kisheria?

Mkuu hakuna kosa lolote, ila kwa watawala hilo ni kosa kwa maslahi yao binafsi na matumbo yao,, ukizingatia wao ndio wana dola..

Ujinga wa wananchi huwa ni mtaji mkubwa sana kwa wanasiasa.
 
Back
Top Bottom