Kondoo dume azua kizazaaa, atembeza kichapo mjini

Kuna muda beberu la kondoo yale mafunza ya kichwani yakianza kucheza lenyewe linatamani kupiga watu vichwa
 
Naona siku ya leo nimeianza vizuri kwa kucheka.Kondoo mpiga vichwa eti anafukuzwa kwa teke
 
Kondoo alikuwa anagombana na dume LA ng'ombe, dume LA ng'ombe lilipewa ndonga moja, lilikojoa na kuhara debe.
Nikagundua, wale wsnaosema hawapati choo wakapigane kichwa na kondoo, utapata choo cha kila aina, hata kile ambacho hujawahi kukipata utakipata siku hiyo
 
Hahaha huyo mbona mpole Kuna siku mdada anaosha vyombo alipewa moja tu akafariki dunia
 
Askari katoka mbio.

Mlinzi katoka mbio.

Kwanza ameanza kupeleka NDOSI kwenye Pikipiki, Mtu na Mkewe ikabidi waanguke na Pikipiki yao.

Baada ya hapo akampelekea NDOSI Mke wa jamaa, Mke wa jamaa akaenda chini.

Baada ya hapo tena Mume katika kutetea na yeye akapelekewa NDOSI za kiaina, kilichosaidia Mume katumia uanaume wake na ujanja kumzungusha kwenye Mti.

Huyo Kondoo ni mcharuko
 
nimecheka sana leo daaah ni kwikwi,, jamaa aliyekuja kumsaidia yule mother kumbe na yeye mchele mchele tu ahahahahahha
 
Nimefurahishwa na yule kaka kwa kujitolea kwenda kuokoa yule mdada nimejifunza uwepo wa watu wema ktk zama hizii
 
Back
Top Bottom