Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Kondomu nzuri za kunogesha tendo

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,048
Reaction score
3,408
Tujuzane..

Isijekua tunamiss mambo matamu..

Nasikia kuna kondomu ambazo ukitumia ni sawa na unapiga kavu yaani zinakupa utamu ule ule sawa na unaoupata ukipiga kavu.

Tujuzane kwa wale expert wa MMU
 
Rough Rider = kwa ajili ya kuongeza msuguano, ina vijipele (Studied) Kwa nje, inampa Raha zaidi mwanamke kuliko mwanaume

Bare Back = hii ina ngozi nyembamba sana kiasi kwamba ikitumiwa
Inakuwa kama haujavaa kitu (bahati mbaya hazionekani Madukani) hii huwapa raha pande zote mbili, yaani mwanamke na mwanaume.

Wet N' Wild = hii ni Kondom kwa ajilinya wanawake wanaokauka haraka, wanawake ambao hawana uwezo wa kulowa vizuri wakati maandalizi, imepakwa extra lubricant.

Lakini zote hizi upate origin kutoka kwenye viwanda vyake halisi, baadhi yake huwa nahisi huenda ubora wake umekuwa Compromised.
 
Back
Top Bottom