Mshana tuombe msamaha. Unatuletea ya nchi ambayo hata wengine tulishasahau ilipo kwenye ramani? Sisi tulidhani unatupa mtihani wa tulikozoea. Ha haha umesharudi?Nmmh
Sikwenda sababu mambo yalibadilika kuwa mazuri hivyo until Wed. next week.[emoji23] [emoji23] [emoji23] my apology niah bado mpaka Jumapili vp Bk
Teh!.Mbona unashangaa uhuru wa kutoa maoni usituletee ya MUUZA NYUMBA hapa!JF uhuru tu!Aisee....!!!
mnaharibu uzi sasa, ebo!Iyee namanya chathuu, haii wewe ni mwathuu?
Hahahahah unashangaa nin mkuuAisee....!!!
mnaharibu uzi sasa, ebo!
Hii wapi aisee.?!Hapo itakuwa ni tofauti na hapa
![]()
manake hapa tunakunywa za machicha
na pale hatunywi za machicha
X-WangaHii wapi aisee.?!