Kona ya wapi hii?

Kona ya wapi hii?

Iyee namanya chathuu, haii wewe ni mwathuu?
Ayaaa bibi kashalala ndio alikua ananitafsiria na kuniambia majibu!!
Kwa wajomba huko.
Ila nimekuelewa umesema "ndio najua kipare,wewe ni mpare"?

Nachukia watu wanaiponda same nzima sababu wamepita tu na basi wakajua pare yote ni kame vile kumbe kuna paradiso huko juu.
 
Hahahaa saafi endelea kumkaba bibi akufundishe kipare ni kitamu kama kifaransa au kiingereza. Mie sio wa huko, ni linguistic tuu
 
watu ambao hawajawahi kusafiri bana

yaani unapiga picha barabara uliyopita afu unauliza wapi hapo? mbona kona kama hizo ziko nyingi? na madhari za nyumba zinabadilika mara kwa mara kulingana na wakati ??
 
Aisee....!!!
 
HAPA UNAMKUSUDIA NINI Mshana Jr
 
Back
Top Bottom