Unaijua same wewe mpaka useme ina ukame?Twende kwa mjomba wangu Ntenga uone kama Amazon.Punda wa napatikana maeneo ya ukame au yenyw sifa ya jangwa mfano hapo paweza kuwa Same mkoa ni Kilimanjaro au Dodoma au........ sijui kwingine.
Kasie.
Unaijua same wewe mpaka useme ina ukame?Twende kwa mjomba wangu Ntenga uone kama Amazon.