Window XP Ina Version nyingi Kuna home edition, Professional na . Anyway hii sio muhimu lakini najaribu kukuonyesha details unazotakiwa kutoa ukiwa unatoa Technical problem.
Baadhi ya solution katika hizi unaweza kufanikiwa ni
1.Cha muhimu kwenye Windows XP . ni
Service pack Je ni SP gani ya XP unayotumia. Latest nadhani ni
SP3. Kama hauna SP3 chukua update kwenye site ya
microsoft.
2.Vile vile First reference point kama Windows XP inatatizo right click
MY COmputer then chagua
manage alafu chagua
event viewer
Hapo kwenye event viewer jaribu kucheki event viewer za
system na
Application kama kuna error. Hizi zinaweza kukupa clue nini hasa tatizo. Event yeyote yenye tatizo critical itakuwa na alama nyekundu.
3.Tatizo pia linaweza kuwa bad sectors, lost clusters, cross-linked files, and directory errors. kama hili linachangi suluhisho ni kutumia comaand ya
chkdsk . How
To repair errors without scanning the volume for bad sectors, at the command prompt, type
chkdsk volume:/f, and then press ENTER.
Kwa maelezo zaidi ya hii tembelea
http://support.microsoft.com/kb/315265
4.
Sytem Restore. Hii ni tool iko kwenye Windows. Nenda kwenye Programs then Accessories then System tools the system restore. Soma maelekezo itakusaidia kurestore system yako may be katika hali iliyokuwa mwezi 1ja uliopita. Hii ni njia bora ya kujaribu kabla ujakua umuzi wa kuiformat. Hapa huwezi kupoteza data zako .
5.Otherwise ushauri wangu Kama mashine yako ina latest update ya SP then 3 chukua link kakupa mtaalamu 1ja ya kusafisha registry yako. (
Registry cleaner) bila kusahau kufanya
Virus scanning
Hope katika hizo unaweza kupata dawa.
Good luck