Komesha kwa wizi wa nguo!

Komesha kwa wizi wa nguo!

muhi

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
51
Reaction score
19
chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza,
chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo.
watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo.
chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu.
watu.:njia ipi?
chizi: vaa nguo zote!!!!!!!
 
Back
Top Bottom