Komesha ajira kwa watoto.

Komesha ajira kwa watoto.

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,109
Reaction score
3,055

Attachments

  • 1427556186428.jpg
    1427556186428.jpg
    31.4 KB · Views: 514
Hii si sahihi kabisa ifanywe kila jitihada kukomesha hili suala
 
Hii nchi ina sera nzuri sana juu ya maswala haya ila utekelezaji wake unasubiri ovyo kabisa
 
Mkuu window hiyo ilikuwa Thesis yangu ya uzamili. Nilichokutana nacho huko kinaumiza sn.
 
Mkuu window hiyo ilikuwa Thesis yangu ya uzamili. Nilichokutana nacho huko kinaumiza sn.

Mkuu yani acha tu hii kitu Inahuzunisha sana watoto wanabebeshwa masinia mkubwa ya matunda.
Btw nini ulikiona huko mkuu
 
Mkuu yani acha tu hii kitu Inahuzunisha sana watoto wanabebeshwa masinia mkubwa ya matunda.
Btw nini ulikiona huko mkuu

Nilifanya salasala .....watoto wadogo wanagonga mawe ....mpaka kisadolini kijae wanapata ujira wa shilingi 200 kwa kila kisadolini. Sasa imagine 200 itasaidia nn na atajaza Sadolini ngp. Kwa hyo ni tatizo
 
Dah hapa tuna tatizo kubwa sana mkuu,,. Serikali yetu mpaka maaafa yatokee ndio ifuatilie jambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom