ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,226
- 6,461
Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira?
Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi.
Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao.
Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna kudekadeka.
Mwenye ndugu refa amfikishie ujumbe kabla hajadundwa na wananchi wenye hasira Kali.