Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

Huenda connection inachangia, ila kwa macho ya kawaida soote tunajua jinsi ambavyo wakenya wengi wamejiweka wazi ni mashabiki wa arsenal.. mitandaoni ni mara nyingi tu kumekuwa na memes mashabiki wa kenya wakichekwa..huku kwetu sidhani maana hakuna vitu hivyo, mashabiki wa arsenal huku tumepoa.
 
Naona kama mapenzi ya ligi za ulaya au nje yakiwa juu kupita kiasi gharama hulipwa na ligi ya ndani. Ufuatiliaji hupungua.
 
Kombe la arsenal,wao ndiyo waamuzi walipeleke wapi,we unawalaumu watz!
 
Na sisi wananchi tutawapelekea la NBC, tuna mashabiki wengi sana huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…