Komba hoi

aaaaaa,jamani mbona mnene sana?anaonekana afya yake n nzuri sana tu



Afya nzuri eeeeeeeeeeeeee!!!!
Eti kuchek afya tu!
Bila shaka laana ya Watanzania itawakuta tu hawa viongozi wa chama tawala!
 
mimi nilimsikia kwa mathusi yake
acha malipo ni hapa hapa.
 
Inaonyesha huyu mzee anakataga mauno kwelikweli kwenye ile band yake. Anyways mola mlinde kwani si vyema kumwombea mabaya mwanadamu mwenzio.
 
Mi nilijua kaenda kufanyiwa upasuaji ili asilale tena bungeni... anyway Get well soon sir ili uje ushuhudie chama chako kinavyokufa " mgeni amelala mgeni, mgeni.... mgeni huyu mgeni..."

Teh ule ni uzembe hauitaji tiba ya india wala muhimbili!
 
CDM watapata tena jimbo b4 2015 nini?
 

Hapo kwenye nyekundu, kwani ana faida gani hadi aombewe kupona. Aopone ili aendelee kutetea ufisadi siyo? Huo muda wa kumwombea bora watu wakalime mchicha. Watu kama hawa inabidi waombewe kufa tu.
 
Duuuuuh ikitokea aki R.I.P kabla ya 2015 itakuwa ni anguko lingine la CCM kwa kuwa muimbaji na muhamasishaji hatokuwepo tena
 


Yaani hata mafua watu wanaenda India tena kinyemela? Nani amuombee akafie mbali huko
 
Nyonga!pole sana muheshimiwa ila cut weight kidogo mkuu si unajua na umri wenyewe nao umekwenda au bado hukubali?hebu mcheki Obama unamuonaje,halafu anaongoza nchi yenye mahela kibao,hebu imagine ingekuwa wewe ndio yeye tehe tehe tehe!
 
aaaaaa,jamani mbona mnene sana?anaonekana afya yake n nzuri sana tu

Kulala lala ovyo na kukoroma bungeni ni ugonjwa mkubwa sana,anatakiwa apasuliwe na kichwa ili warekebishe ubongo wake,hauko sawa kabisa.
 
Hapo kwenye nyekundu, kwani ana faida gani hadi aombewe kupona. Aopone ili aendelee kutetea ufisadi siyo? Huo muda wa kumwombea bora watu wakalime mchicha. Watu kama hawa inabidi waombewe kufa tu.

Naunga mkono hoja 100%.
 
only for checkup amekwenda india?ama kweli kuna watu wanaishi kama wako peponi ktk nchi masikini kama yetu...kumbukeni basi ata kurekebisha miundombinu ili na sisi tusioweza kwenda apolo walau tupate huduma nzuri hapa hapa nyumbani,by the way get well soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…