wakuu sidhani kama wanawake wanaweza kuwa makomando??? ni kazi ngumu sana saaanaaa...sidhani... ni kuwaonea tu...wanaume tu, si wote wanaoweza kuwa wapiganaji let alone majemadari?? ndio wanawake?? tafadhalini mama zetu, tunawaheshimu na kuwapenda sana lakini kwa hili mtusamehe tu...doh..
Hivi hawa akina Cynthia Rothroc na Catwoman siyo commandoos kweli hao, au ni kwenye movie tu?
Ananilea Nkya, Hellen Kijombi Simba na Ussu Malya Hawa Ndiyo Makomandoo Pekee Wa Tanzania Waliohitimu Mafunzo Yao ktk Vyuo Vya Kuratibu Migomo Ya Kijinga na Ya Kutaka Sifa na Umaarufu..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
we mama unanitishaWakina anjelina jolie na wakina nikita ni movie tu mkuu.
Ila kule korea nadhani wanaweza kweli maana ni sehemu ya tamaduni zao japo sina hakika
we mama unanitisha
I misquoted the quote but this is what i intended to replyTetete bado huamimi wanawake tunaweza jamani bila hata ya kuwasamehe tunaweza. Na ukimkuta mwanamke komandoo mama yangu kaa mbali atakuwa hatareeeee.
Kama alivyo vizuri ktk kupenda basi na kuchukia na kufanya mauaji ni hvyhvy
I misquoted the quote but this is what i intended to reply
Jesh lenye ufanisi mkubwa africa mashariki,jesh linaongoza opareshen nying africa,jesh liloshirik kukomboa nnch nying africa,siaamin kwa jinsi inavyoshirik harakat mbal mbal huko nnje wanaweza wakawa wana muda wa kuwaza kuvunja matofali,naiman watakuwa na kitu tofauti,hasa zama hizi ambazo majesh mengne yanarusha ndege za vita bila ruban,sidhan kama tutashudia scene hata moja ya matofali
Ok.sasa umetishika vp ndugu yangu. What I said is true. Wanawake ni hatari sana sasa pata picha akipata mafunzo hayo itakuwaje. Mimi mwenyewe ni hatari sana najua kupenda sana na kuchukia at the same percentage
Hapo ndipo palipo nitisha..
Mkuu bado unaendelea kunitisha hapa na bandiko hili limenifanya nizidi kutetemeka , by this post i can tell that you have a type A personality ambayo ni tabia walizonazo watu hawa tunaowajadili...kukusaidia kujenga uelewa wa hawa mabwana kujua ni watu wa aina gani..Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Commandos: The Making of America's secrets, mwandishi akiwa Douglas Waller, kimeelezea mafunzo, maisha ya kambi, missions pamoja na maisha ya kawaida ya makomando wa kimarekani, ni kitabu kizuri, kitafute mkuuTetete bado hujasema umetishwa na nini? Tena natamani ningekuwa komandoo au assasin fulani hv. Yani natamani sana ningekuwa na highest level of martial art skills na all kind of killing machines .ningekuwa sniper fulani hv yani ningewadungua wanaostahili kudunguliwa bila huruma
Mkuu bado unaendelea kunitisha hapa na bandiko hili limenifanya nizidi kutetemeka , by this post i can tell that you have a type A personality ambayo ni tabia walizonazo watu hawa tunaowajadili...kukusaidia kujenga uelewa wa hawa mabwana kujua ni watu wa aina gani..Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Commandos: The Making of America's secrets, mwandishi akiwa Douglas Waller, kimeelezea mafunzo, maisha ya kambi, missions pamoja na maisha ya kawaida ya makomando wa kimarekani, ni kitabu kizuri, kitafute mkuu
Ukomando mavi wa kuvunja matofali..wawapeleke afghanistan waone kama ni makomando kweli[/QU
kwa hiyo hutaki kuamini kuwa wao ni makomandoo!? Dah!?
Mkuu bado unaendelea kunitisha hapa na bandiko hili limenifanya nizidi kutetemeka , by this post i can tell that you have a type A personality ambayo ni tabia walizonazo watu hawa tunaowajadili...kukusaidia kujenga uelewa wa hawa mabwana kujua ni watu wa aina gani..Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Commandos: The Making of America's secrets, mwandishi akiwa Douglas Waller, kimeelezea mafunzo, maisha ya kambi, missions pamoja na maisha ya kawaida ya makomando wa kimarekani, ni kitabu kizuri, kitafute mkuu
Komandoo Lady JD
Tunajadili makomando kuvunja matofali siku ya miaka 50 ya muungano