Las Mas Bobos
Naomba nijibu hata kama haiko directed to me,
zomba ataongeza anachokifahamu akiamka lol
1 - Kisheria wanatakiwa wasitumie ubini wa baba
2-Sijui denge ni aina gani za nywele, as long as ni zake mwenyewe hakuna bandia uislam hakuna sheria ya kukataza hiyo hair cut, lakini inawezekana ikawa ni makruh (undesirable thing)
3-Hakuna takaso, they will remain the same lakini kwenye sheria ya mirathi hawarithi. Hii inawagusa zaidi hasa wale wenye nyumba ndogo bila ya ndoa. Kidini watoto wa haramu hawarithi, full stop
4-Wanatoto wao wanakuwa wanahalali kama ndoa ilipita kabla ya kuzaliwa kwao unless wao pia wanafuata mkumbo wa wazee wao