Koffi Olomide

Haianzi na Mobimba Mokili bali Mokili Mobimba -Dunia Nzima/Yote
Ndugu yangu weee nimeokoteza okoteza hapo jua kuna bro katupia, lol
ila sijui hata moja lakini shukrani kwa kunisahisha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kilingala ni kibantu, mpangilio wa maneno ni kama kiswahili: mfano mwasi kitoko= msichana mzuri, kwa kiingereza we could say beautiful girl, sasa kwa lingala hawasemi kitoko mwasi. Papa na ngai (baba yangu) unaona mpangilio huo???
 
Mbona siku hizi kutafsiri lugha ni rahisi tu jamani. Badala ya kulalama, si unaenda tu Google Translate. Angalia tafsri hii hapa kupitia Google Translate:
Hongera quadra kwa sadaka didi jiwe ina siku ya kuzaliwa chama cha anastahili jina lake, anastahili pongezi yake
Ndo nini sasa
tafsiri haieleweki ni mbovu
 
Kilingala ni kibantu, mpangilio wa maneno ni kama kiswahili: mfano mwasi kitoko= msichana mzuri, kwa kiingereza we could say beautiful girl, sasa kwa lingala hawasemi kitoko mwasi. Papa na ngai (baba yangu) unaona mpangilio huo???
Itabidi nikutafute bro unipe shule ya kilingala.... if its ok with u.

Back
Top Bottom