Koffi Olomide afungwa jela miezi 18

Koffi Olomide afungwa jela miezi 18

Bifu lake na Kabila limemkosti. Siasa za Afrika.
ogopa neno kukariri. kabila ndio alimpiga teke yule mnenguaji? kabila ndio alimfukuza Kenya? kabila ndio kafuta onyesho lake zambia? ukiwa mpinzani unakua mjing.....a kabisa
 
Ajilaumu yeye mwenyewe, kiburi cha fedha sasa akakutane na
 
Kama ni kweli basi iiyo siyo haki kwa sababu kosa halikufanyuika katika jurisdiction ya Kongo, ilikuwa ni jurisdiction ya Kenya ambako aliadhibiwa kwa kufuta onyesho lake na kudeport. Sheria ya haki hairuhusu mtu kuhukumiwa adhabu mbili kwa kosa moja.
 
ogopa neno kukariri. kabila ndio alimpiga teke yule mnenguaji? kabila ndio alimfukuza Kenya? kabila ndio kafuta onyesho lake zambia? ukiwa mpinzani unakua mjing.....a kabisa
We ndio mjinga kabisa, inaelekea una chuki na wapinzani sana. Kama hujui ugomvi wa Kabila na Koffi Olomide kaa kimyaa.

Unajua Barrack Obama naye alikuwa mpinzani? SHAME for your insanity.
 
Hawakumpa hata nafasi ya kutafuta lawyer, kesi ya juzi leo hukumu imetoka. Kama ingekua hivi kwa watu wote angalau tungekua na muda wa kusafisha mahabusu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndio mjinga kabisa, inaelekea una chuki na wapinzani sana. Kama hujui ugomvi wa Kabila na Koffi Olomide kaa kimyaa.

Unajua Barrack Obama naye alikuwa mpinzani? SHAME for your insanity.
mjinga ni mjinga. mtu afanye ujinga wake mseme ana ugomvi na kabila? hata kama ana ugomvi nae haiondoi ujinga aliofanya huyo bwege.
 
Back
Top Bottom