Kodi ya meza ikiwa ndogo hatari kwa ndoa yako

kikokoti

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
678
273
Wakuu nimehamia makazi mapya halufu ya chakula kizuri hunukia kutoka kwangu, na Kila ninaporudi kutoka kazini ckosi vpaseli.
Hadi kufikia leo hii nishaombwa namba yangu na weke za watu kama 6, nasubiliwa mm tu niliamshe shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Chakula tu ndio kisababishe yote hayo mkuu.Inatakiwa wewe na hao majirani zako wote mkapimwe mkojo.

Sijawahi pagawishwa na mtu eti kisa anakula vitu vizuri sa sijui ni roho yangu ya kimasikini.
 
Mmh. Chakula tu ndio kisababishe yote hayo mkuu.Inatakiwa wewe na hao majirani zako wote mkapimwe mkojo.

Sijawahi pagawishwa na mtu eti kisa anakula vitu vizuri sa sijui ni roho yangu ya kimasikini.
Huenda kuna kingine anachovutia zaidi ya harufu ya msosi japo hajafunguka.
 
Huenda kuna kingine anachovutia zaidi ya harufu ya msosi japo hajafunguka.
Kweli kabisa kama hivyo naweza nikaamini mdogo wangu. Chakula ni kitu kidogo sana ambacho sidhani kama kinaweza kuwatoa imani wanawake wote hao.
 
Kweli kabisa kama hivyo naweza nikaamini mdogo wangu. Chakula ni kitu kidogo sana ambacho sidhani kama kinaweza kuwatoa imani wanawake wote hao.
Atakuwa anakaa kwenye nyumba za uswazi wanashare korido kila MTU na chumba chake,maana sioni vile eti unakaanga vitu vyako ndani ya geti majirani sita wadate huo ukaribu mmekaribiana kama mko ndani ya mwendakasi?
 
Itakuwa hivyo mkuu na inavyoelekea yeye ndio mambo safi wa mtaa. Hahaahaaaa.
 
wewe jisifu tuu unafikiri hao wenye wake zao hawapendi kurudi na vipaseli nyumbani? ngoja wakugundue na waanze kukupa adhabu za kifalme ndiyo utajua kuwa mke wa mtu ni sumu, pia ni laana kubwa sana kufanya dhambi na kujisifu wenzako na wanatubu na kuomba kutorudia tena madhambi yao.
 
Ogopa sana wanaume tukiamua kukuundia kamati huo mtaa utatuma watu waje kukuhamishia vitu!...
 
Back
Top Bottom