Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
...Duh!! GT kazi unayo maana naona members humu jamvini wana-connect kila kitu na.......Labda tukijiunga na jumuia ya kiislam basi jamaa hao watatupatia misaada ya kujenga kama wao. Wewe unasemaje?
...Duh!! GT kazi unayo maana naona members humu jamvini wana-connect kila kitu na.......
Labda tukijiunga na jumuia ya kiislam basi jamaa hao watatupatia misaada ya kujenga kama wao. Wewe unasemaje?
Haya yote kayaanzisha mwenyewe GT, anajua anachokifanya na anajaribu kwa kila njia kukifanikisha. Tatizo lake ni kuwa: mpango wake wa kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam ni dead on arrival.
Mkuu GT heshima mbele,
Nimefurahi sana kwahii post maana nafikiri ni changamoto sana hasa kwa huu umeme wetu wa kimulimuli wa TANESCO. Cha msingi tuu ambayo nataka kuweka baya nijuavyo mimi na nimeshawahi kufanya SOLAR PANELS hazina kodi ila sasa sijajua tuu kwa Wind Turbines
Kidogo uwe makini kaka.Jamaa kaongea jambo la msingi.
Huo ni mfano tu kutoka katika vyanzo vyake,wewe unarukia mambo ya kujiunga na Jumuia ya kiislamu.
Naweza kukuelewa kama utakua na bifu na mtoa hoja.
Hivi hatuna agency inayoshughulikia renewable energy in the concerned ministry? Kama wapo why we do not see them in action, at least to educate people on the advantage of using renewable energy so that they can capitalize!!!
Hivi hatuna agency inayoshughulikia renewable energy in the concerned ministry? Kama wapo why we do not see them in action, at least to educate people on the advantage of using renewable energy so that they can capitalize!!!
....
Of course sisi as usual ni Ma JOCKERS na hii inasababishwa na waziri mkuu ambaye pia HANA WEBSITE....TAZAMA HAPA:
Tanzania National website
wapo pale wizara ya nishati...kuna mheshimiwa mmoja anaitwa Engineer Bengiel H. Msofe...mtu mmoja makini sana
huwezi kuwalaumu hawa kwa sababu hatuna hiyo Alternative Energy Policy kama vile ambavyo rais hana website ya mambo kama haya..hivyo hata kama ipo policy then inabidi mtu a hustle chini kwa chini ndio aipate
Inasikitisha sana kwa kweli
Unajua kuna jamaa nadhani zamani walikuwa Sido waliamua kuanzisha smal scale business kutengeneza hiyo mapanga ya wind turbine ndogo ndogo..lakini of course serikali yetu haikutaka kuwaendeleza jamaa wameishia kuzuga tuu mjini
Wakati huo huo wenzetu (hata sijui kama inafaa kuwaita wenzetu) kule Kenya wao waliamua kuipeleka JUA KALI into another level
Tazama WEBSITE ya wizara ya NISHATI YA KENYA na ipo policy kuhusu mambo haya:
Ministry of Energy - Renewable Energy department
Of course sisi as usual ni Ma JOCKERS na hii inasababishwa na waziri mkuu ambaye pia HANA WEBSITE....TAZAMA HAPA:
Tanzania National website
mkuu, sahihisho kidogo hapo, waziri mkuu ana website, actually nzuri kuliko ya ikulu and the likes
hebu angalia HAPA
Ha ha ha ha Kaizer,
Unataka kumtetea mkatoliki? huna habari kuwa mabaya yote ya Tanzania yameletwa na wakatoliki (kwa mujibu wa Game Theory na mafundamentalist wenzake hapa jamvini)?