vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,123
- 5,846
Hamna kocha hapo. Mokwena hana mbinu mbadala kabisa anachojua ni kupiga pasi nyingi hadi goliniIla Mokwena kama simuelewi hivi, huwa namuona kama yule mchekeshaj8 wa Kenya aitwaye Nduguchi.
Sijui viongozi wameona kipi kwake, ngoja tuone, nahisi anaweza akaindolewa baada ya season tu