Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,453
5,812
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.

Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
 
Tunaomba hayo makubaliano. Bado tunajadili goli la Yanga walilonyimwa😁😁
 
Simba Ina kocha mzuri, ila Haina wachezaji wanaoendana na ubora wake.

Usajili wa maana unahitajika, siyo levo za wachezaji wengi waliopo Simba SC.
Benchikha katokea tu kukubalika kwenye mioyo ya wanasimba ila kimbinu ni mweupe. Simba ilikuwa na kikosi kibovu sio tu msimu huu ni misimu miwili nyuma lakini hawakutolewa robo fainali kwa kipigo kitakatifu kiasi hiko. Robertinho aliweza ku battle na Al Ahly game zote mbili kwa mbinu sio kwa kikosi.
 
Kwa hiyo mangungu ndio mtimuaji mwenyewe kabla hajamtimua ajiaze yeye kutimuliwa
 
Wewe umesikia wapi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…