OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,779
Kocha Mwinyi Zahera wa Klabu ya Yanga SC ni kati ya watu tisa waliopelekwa mbele ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa makosa ya nidhamu baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuwasilisha malalamiko dhidi yao.
.
- Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na TFF, baadhi ya viongozi, makocha na wachezaji wamepekwa kwenye kamati hiyo sambamba na Zahera ambaye mara kadhaa amekunuliwa akiilalamikia TPBL hasa kuhusiana na viporo vya watani zao na waamuzi.
.
- Mbali na Zahera, wengine waliopelekwa Kamati ya Nidhamu ni Athuman Bilal wa Stand United, Nassoro Mrisho (Geita Gold FC) na Ramadhani Nsanzurwimo (Mbeya City).
Viongozi ni Herry Chibakasa wa Friends Rangers, Mohamed Hussein (Kagera Sugar), Walter Harrison (KMC) na Hussein Salehe wa Geita Gold wakati mchezaji aliyelalamikiwa ni Deus Tulusubya wa Pamba; Kamati hiyo ya TFF inatarajiwa kukutana na kutoa maamuzi Jumapili ya wiki hii..
Kwa upande wake Mwinyi Zahera amesema kuwa waandishi wa habar za michezo Tanzania wanatumia vifaa feki kurekodi sauti za watu na kuzipeleka katika Media na mtandaoni Zahera amesema anahitaji kuandaa Studio au kutafuta Studio atakayotumia kurekodi sauti yake ndipo iende katika Media na mitandao ya kijamii sababu waandishi wengi wanarekodi sauti yake na inasikika vibaya vifaa vyao feki wandishi wa habar watamtafuta moja kwa moja akiwa Studio