Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu yake. Ndio maana ya uhatari wake kuliko simba maana simba wengi hawawezi kupanda miti wala kuogelea ndani ya maji but huyu mdudu ni all weather panda mti ingia kwenye maji kimbia atakukamata tu. kama nimekosea mnirekebishe maana simfahamu wala sijawahi kumuona na Mungu aniepushe naye.Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui
Hapa ndipo ninapotaka ushahidi.Huyo jamaa ana tunywele kichwani, sio twingi..
Ku 'hoover' sijaelewa ni kufanyaje, ila huyo koboko anaruka juu umbali mrefu, hata mita 40, sijajua kiingereza anaitwaje, sidhani kama ndio hiyo black mamba kwa sababu sio weusi, ningekugugea.(google). Huyo jamaa ana tunywele kichwani, sio twingi..
Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu yake. Ndio maana ya uhatari wake kuliko simba maana simba wengi hawawezi kupanda miti wala kuogelea ndani ya maji but huyu mdudu ni all weather panda mti ingia kwenye maji kimbia atakukamata tu. kama nimekosea mnirekebishe maana simfahamu wala sijawahi kumuona na Mungu aniepushe naye.
sasa ni mmasai au wamasai?pia kuhusu kuua hata watoto wanaua nyoka mchana kweupe tena kwa kandambili tuWamasai wanaua simba mchan kweupee easy tu
Nyoka flan wa kijan iliyokoza anafanana na yule green mamba ila yeye yuko cute fulani hivi ana metalicyellowish green au metalic green .Boomslang kwa kiswahili ni?
Tuko pamoja mkuu, nimetokea kuipenda story ya black mamba japo sipendi kukutana naeHuu uzi naufatilia nipate madini ambayo sina
Hahahahahahasasa ni mmasai au wamasai?pia kuhusu kuua hata watoto wanaua nyoka mchana kweupe tena kwa kandambili tu
Mkuu umespesholaizi kwenye reptaili nini?!Myth: Some Snakes grow a beard as they get older. Fact: Snakes arereptiles and do not have any hair on their bodies let alone a beard. It is impossible for them to have beards for their bodies do not have any ability of growing hair.
Koboko wa kijani huyu hupatikana sana mikoa ya tabora anapenda sana kula panya ndiyo maana wanapenda kuingia majumbani mwa watu kusaka panya na mendeNyoka flan wa kijan iliyokoza anafanana na yule green mamba ila yeye yuko cute fulani hivi ana metalicyellowish green au metalic green .
Ni mwembamba zaid kuliko mambas (green and black)haonekani agressive lakini anasumu mbaya inayokufanya u breed kila sehemu.Ni killer with pretty face!
Koboko wa kijani hupendelea sana ndege na mayai ya ndege,kwa sababu ya rangi yake na anablend vizuri kwenye miti ndege huwa hawamuoni.Koboko wa kijani huyu
Huwa anatoa kiss of death umsogezee shavu halafu upige selfie okNaelekea tabora nitAmsaka huyo kuboko na nitapiga naye selifi na kuiweka hapa jf